Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,170
- 4,582
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.