Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Hoja yako ni nini hapa 🌈
 
Unajua Hata Mambo Bana, Sijyi hataushaje kikubwa ili yaishe inatakiwa kuwe na CCM ya Kizalendo. CCM wasiishie tu kusema tuko madarakani bali wafanye kweli waige hata uchina ukoo
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Kwa hiyo tuwalaumu chadema siyo?
Tuwaache wanaosababisha
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
UPUMBAVU wa Magufuli hautarudi tena nchi hii. Huyo alikataliwa na Mungu mwenyewe, kama ume miss JPM kufa tu na wewe akakutawale kuzimu
 
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?

Kuingilia msafara wa Biteko?

Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.

Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Alili yako ndogo . Inawaza kihafidhina
 
Pumbavu mkubwa wewe,kwenye hoja za msingi unalete undezi!?. Nchi inaibiwa na kupolwa,wewe unaleta ma

Pumbavu mkubwa wewe,kwenye hoja za msingi unalete undezi!?. Nchi inaibiwa na kupolwa,wewe unaleta mawazo yako ya kipumbavu.
Kajifunze kwanza kuandika vizuri wewe mfuasi wa marehemu.kupolwa=kuporwa,inaporwa na nani na inaporwa na nani!?.Yule jamaa aliwafanya muwe mazwazwa kwa uzalendo uchwara
 
Back
Top Bottom