Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

Taito inatisha lakini point yako nami naikubali. Hakuna mwanaume anapenda mwanamke anayejifanya mtakatifu, mlokole fulani. Mfano mkiwa kwenye game inabidi unakuwa na mautundu kwani kujifanya si mzoefu hakukusaidii kitu wala nini. Ila with your single partner/hubby; si kugawa hovyo.

Yes I also agree most men like challenges. Wanataka mwanamke ambaye ana akili hata akifungua mdomo kuongea kitu mbele ya marafiki zake, wanasema yes, shem kichwa kinafanya kazi. Sio unaongelea kusuka nywele tu.

A strong woman ni challenge ambayo wanaume wengi wanailalamikia lakini wanaipenda. Kwenye maisha lazima muwe mna argue on issues siyo kila kitu watingisha kichwa tu.

Usiseme hakuna mwanaume! Sema wanaume wengi unaowajua hawapendi hivi! Kwani mimi unanijua sasa?
Kila mtu ana option yake.
 
I agree with u, challange must,,, othewise unaweza kuwa na mwamke sawasawa na boga mpaka ulihamishe lilipo, i like that kind of women
 
Mume: Baba Paroko nimekuja kumshitaki mke wangu.
Paroko: Tatizo ninini?
Mume: Mwenzangu huyu kila tunaponanihii, yeye hulia na kusema maneno yafuatayo:
-Ooohhh Jesus....Uhhh!..mARIA mtakatifu...yesuNibembeleze nibebe....gOD YOU are so sweet!....ohhhh.ohhhh, yohana Mbatizaji!...ohohhhoooooooooooooooooooooooo!!!mTKAtifu Thersia wa mtoto yESU!
Paroko: kwahiyo shida ninini?
Mume:ananiboa sana na hayo maneno, na kunikatisha mzuka!

Then Paroko alijibu nini:israel:
 
Usiwe mkali kaka hapa tunachangia hatumbadili mtu tabia. Key board ilitereza. I am always very keen not to generalize!

Usiseme hakuna mwanaume! Sema wanaume wengi unaowajua hawapendi hivi! Kwani mimi unanijua sasa?
Kila mtu ana option yake.
 
A lil bit of both....ni kiasi tu cha kuzingatia muda na mahali!!

The point is usiumizwe! Ni bora kuumiza kuliko kuumizwa! If u r smart enough not to take any shit from any man then u r a woman and ahalf!
 
Girlfriends! Ukiambiwa uchague; kulizwa au kuliza utachagua nini?
I use to be a good girl, but it costed me a lot of cries and sleepless nights! Then siku moja mama mtu mzima akaniambia kuwa wanaume huboreka sana na wanawake wapole, wakarimu na watiifu. Huyu mama hajui hata kusoma wala kuandika; so kajifunza hii from experience!

After reflecting and reading about relationship nimegundua it is true, na baada ya kuanza kuwa bitch (meaning l know what l want in a relationship and l take no nonsense) nimeona inalipa! Men like challenged, so kumsumbua inaongeza mapenzi!

What is ur experience? Ofcourse hata wanaume mnaweza comment!
aiyaa sikuona hii thread my dear nilikuwa nakuperuzi kidogo u know i like u so much!
back to topic am speechless! ngoja na mimi niwe bitch!
 
thats not what being a bitch is about!! au ukiwa real unaitwa bitch siku hizi
 
who cares what anyone thinks..., nadhani just be youself.., ambaye hataki yeye ndio abadilike
 
daah hapo kweli kabisaa kma ambavyo girs nanyi mnapenda challenges
 
aiyaa sikuona hii thread my dear nilikuwa nakuperuzi kidogo u know i like u so much!
back to topic am speechless! ngoja na mimi niwe bitch!

ha haha lil sis, nimegundua (kwa like) kuwa ulikuwa unanifukunyua! Imekugusa eeh, bad girls are men's favorite ila kuwa na kiasi na chagua sehemu za kuwa bad.
Ukiwa good sana, mwanaume anakutake for granted lkn akiwa na wasiwasi fulani basi atachukua muda na effort kukukeep if at all you are worth keeping. LOL
 
who cares what anyone thinks..., nadhani just be youself.., ambaye hataki yeye ndio abadilike

Yaani kukupinga inaniwia ngumu sana kwa kweli; being yourself is the way. As The Boss said kila mtu ana ka element ka kuwa bad na good, na wengi husuppress bad side (l was one of them) ili kum-impress mtu badala ya kujiachia, so nimejifunza kuwa huru na honestly ina lipa zaidi!
 
Last edited by a moderator:
thats not what being a bitch is about!! au ukiwa real unaitwa bitch siku hizi

Good girl ni sanaa kwa maoni yangu yaani unakubali hata kujinyima matamanio yako ili uwe nice kwa wengine/mwingine, so ukiwa yourself mara nyingi (kimjini mjini) unakuwa labelled as a 'bitch'.

Na ndio maana niliiweka defn yangu ili nieleweke neno hilo nimelitumia nikimaanisha nini.
 
Back
Top Bottom