bora nchi yenye uhuru wa habari

youngforeva

Member
Apr 26, 2011
25
1
[h=6]ni bora kuishi katika nchi isiyokuwa na utawala wa serikali yyote lakini iwe na uhuru wa vyombo vya habari ili kutoa habari za kinachoendelea kwa wananchi kuliko kuishi katika nchi yenye serikali lakini hakuna uhuru wa vyombo vya habari maana waandishi na vyombo vya habari vinashindwa kuandika ukweli wa mambo kwa kuogopa kufungiwa vyombo vyao na wenye madaraka,,hivyo wananchi wanabaki gizani.......bora kuchagua jema[/h]
 
Kwa kifupi ni vizuri kuishi inchi inayofuata utawala wa sheria (Rules of law) kwani hiyo itatoa haki kwa kila mtu kuwa huru katika kutoa maoni na kupokea maoni bila kuvunja sheria
 
Mbona unajichangwanya... sasa kama hio inchi haina utawala wowote tayari ina amani
kuna kitu gani cha kutangaza... huu msemo wa kusema Vyombo havina uhuru ndio yawezekana
ni kweli but ethics za watu wenyewe wana habari ni walakini Saana... Mfano Mzuri juzi kati
Mkapa kahojiwa (baada ya kimya kirefu saana na kashfa dhidi yake -zenye some ukweli)
alafu habari aliohojiwa na kuwakilishwa eti Kwa nini hakujihusisha na Michezo wakati wa
Utawala wake!!! Of all things we need to know us as Tanzanians aje aongelee habari ya Michezo
kisa tu anamponda raisi mwenzie ambae yuko katika utawala.... My point huyo mwanahabari
kama yuko serious na kazi yake kwa nini asimuulize those many qns we have???
 
Ukweli ni kwamba kuna umhim sana kuwa na uhuru wa vyombo vya habari ingawaje kwa Tanzania naweza kusema kuwa hakuna kabisa kutokana na vitendo ambayo waandishi wa habari wamekuwa wakifanyiwa.Kwanza mwandishi amekuwa adui wa kila kiongozi wa siasa, Hapa naomba unielewe vizuri nikisema amekuwa adui wa kila kiongozi wa siasa na manisha yule mwandishi makini anaye andika kwa kutetea wananchi. naweza kumwita sauti ya umama kamwe hawezi kuwa rafiki wa kiongozi yeyote.

Nawaomba waandishi wa habari wasiwe vunjwe moyo bali waendelee kutafuta haki za wananchi ipo siku watu kuwa huru na kwa suti moja wataijenga tanzania Yetu.
 
Back
Top Bottom