Nothing about priority and non priority wote boom sawa siunajua boom ni tofauti na laons.boom kila mwanafunzi anaeenda chuo anapata lakini ishu ni mkopo utapata?
Vitu vingine havina hata maana kuanzishia Thread..I think people don understand wat is the meaning of forums...Forum is not like fb that u write whatever pops up in your mind..Forum is a place where u measure what you want to write before you write it..Sasa hapa mkuu SOBSTER hii thread yako inatusaidia nini haswa?coz kama ulitaka kutoa ushauri kuhusu maswala ya boom ungefanya ivo kwa kuchangia kwenye thread ambazo zimeshaanzishwa kuhusu boom..
No offence at all ni mtazamo wangu tu kwako
hivi vitoto jama hata havisomi ni kuwaza tu Boom kwani mkiwa na modem na Laptop ni lazima mpost au kuchangia
sisi wengine tulidhani ni Bomu lingine la machozi wamewalipua waandamanaji wanaodai haki zao kumbe!!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.