Boom hiloooooo

sobstar

Member
Aug 27, 2012
28
4
BOOM:yawn: LINAKARIBIA SO BE CAREFUL ON HOW TO USE IT.LA SIVYO UTA SUFFER. KAMA KUNA MAWAZO MENGINE WEKA HAPAAA.



BOOM LINAANZA 10/9/2012 jiandae kupokea BOOM
 
Huyu jamaa hana tofauti na polisi wanao2piga wananchi mabomu we cheki hili bomu alivyolitoa wa2 b.p hapa
 
PRESHA ZANINI KIJANA UTAKUJA UFE KABLA YA WAKATI VUTA SUBIRA HADI 10/09/2012 SI MBALI MKUU:eek2:
 
Nothing about priority and non priority wote boom sawa siunajua boom ni tofauti na laons.boom kila mwanafunzi anaeenda chuo anapata lakini ishu ni mkopo utapata?
 
Jamani hyo tarehe 10/9 ndo mkopo kweli hama uzushi? na yule wa j5 tarehe 5/9 2naomba na wewe ufafanuzi wako kidogo!!
 
Vitu vingine havina hata maana kuanzishia Thread..I think people don understand wat is the meaning of forums...Forum is not like fb that u write whatever pops up in your mind..Forum is a place where u measure what you want to write before you write it..Sasa hapa mkuu SOBSTER hii thread yako inatusaidia nini haswa?coz kama ulitaka kutoa ushauri kuhusu maswala ya boom ungefanya ivo kwa kuchangia kwenye thread ambazo zimeshaanzishwa kuhusu boom..
No offence at all ni mtazamo wangu tu kwako
 
hivi vitoto jama hata havisomi ni kuwaza tu Boom kwani mkiwa na modem na Laptop ni lazima mpost au kuchangia
sisi wengine tulidhani ni Bomu lingine la machozi wamewalipua waandamanaji wanaodai haki zao kumbe!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu tatizo hamfuatilii taarifa za habari.boom linatoka 10/09/2012 so andaeni akaunti zenu mapemaaa
 
Wewe FILIPO MWANUKE ulie soma LYANDEMBBELA hi ID yako ulikua unadhani JF wanajisajili kwa ID za shule??

ze duduz kazi yako hii

Ngoja tumu-google tuone alichomoka na ngapi advance level
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom