Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

"I’M ALONE. I don’t have much food. The temperature is dropping. No one is coming for me. It will be winter soon, and there are so many ways to die out here. If the cold doesn’t get me, the hunger will. If the hunger doesn’t get me, the cold will. Or some wild animal. Or those men will come back .

. . But I’m not dead yet, and someone should know. Someone should know what happened. So I’m writing it down, as best I can. In pieces, because that’s the way it is in my head, all tangled up. There are two beginnings to this story. One of them is on a tarmac in Alaska. The other’s standing on a lakeshore with the rain falling on me like mist, the cabin’s timbers smoldering, sullen and red. I’ll tell you both stories, what happened before my father died and what happened after. And when I’m done or when I’m too weak to write anymore, I’ll leave this notebook where the cabin was. If someone comes looking for us, for me, maybe they’ll find it. So if you’re reading this, I’m probably dead. But for a while, I survived.
My name is Jess Cooper, and I am still alive."

Huo ni utangulizi wa Novel ya I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
Kwa anayetaka kusoma hii hapa ,
 
Attachments

  • I Am Still Alive (Marshall Kate Alice) (z-lib.org).pdf
    2.2 MB · Views: 67
Tuelezee kidogo, SMART GHOST.
CONFESSIONS OF AN ECONOMIC HITMAN, kimeandikwa na jamaa wa kuitwa John Perkins.

Huyu jamaa alikua recruited na wanausalama wa marekani NSA, kisha akapewa kitengo kama chief economist at the Major International Consulting firm (MAIN).

Anaelezea kazi yao economic hitmen, ilikua ni kuchunguza nchi zenye rasilimali muhimu kama mafuta na madini, kisha wanazishawishi zichukue mikopo mikubwa kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo kiuhalisia haikua na manufaa nchi husika (white elephant projects).

Hii miradi ilikua inanufaisha makampuni ya kimarekani ambayo ndiyo yaliyohusika katika utekelezaji wake. Baada ya nchi husika kushindwa kulipa madeni, basi tayari inakua imeingia kwenye mfumo wao wa "economic colony"

Hapo wangeweza kurudi na kutaka miradi mingine ili kufidia, au nchi hiyo kutumika kama asset kwenye masuala ya kiuchumi na kiusalama kwa maslahi ya marekani.

Walikua wanashawishiwa vipi kuchukua mikopo wasioweza kuilipa? Nini kilitokea endapo wangegomea hiyo mikopo? Nini kilitokea endapo nchi hizo zingeenda kinyume na maslahi ya Marekani? Yote hayo ameelezea kwa mifano mizuri aliyohusika mwenyewe

Kuanzia mgogoro wa Panama canal, deals za kuchimba mafuta kwenye maeneo ya msitu wa Amazon, mpaka deals za mafuta na ujenzi wa Saudi Arabia.

Ukisoma hiki kitabu, utaelewa vizuri project ya bandari ya Bagamoyo. Baadae nikitulia nitaweka PDF file yake hapa!

Adios
 
Usiache kuiweka hapa tushee maarifa
 
Author wa icho kitabu bado yupo hai?
 
Thank you, SMART GHOST.
Nimefuatilia documentary yake. Sasa nasubiri nisome kitabu chenyewe.
 
"I’M ALONE. I don’t have much food. The temperature is dropping. No one is coming for me. It will be winter soon, and there are so many ways to die out here. If the cold doesn’t get me, the hunger will. If the hunger doesn’t get me, the cold will. Or some wild animal. Or those men will come back .

. . But I’m not dead yet, and someone should know. Someone should know what happened. So I’m writing it down, as best I can. In pieces, because that’s the way it is in my head, all tangled up. There are two beginnings to this story. One of them is on a tarmac in Alaska. The other’s standing on a lakeshore with the rain falling on me like mist, the cabin’s timbers smoldering, sullen and red. I’ll tell you both stories, what happened before my father died and what happened after. And when I’m done or when I’m too weak to write anymore, I’ll leave this notebook where the cabin was. If someone comes looking for us, for me, maybe they’ll find it. So if you’re reading this, I’m probably dead. But for a while, I survived.
My name is Jess Cooper, and I am still alive."

Huo ni utangulizi wa Novel ya I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
Kwa anayetaka kusoma hii hapa ,
Paula billionaire mindset cha daniel strauss nakitafta sana please if u caj help me i will appreciate...
 
The Dark Side of Nyerere by Ludovick S Mwijage.

One very eye opening book.View attachment 1274805
Look for a book "WHO TELLS THE TRUTH IN TANZANIA" by Ndimara Tegambagwe.
I think it was published in 1992.
  • How BoT was set ablaze.
  • Death of a Premiere (Moringe and how eye witnesses saw his bodyguards doing handiwork)
  • The Kilosa Massacre.

NB: It's just overwhelming.........
 
Somo nililopata: mtu wa kawaida hatakiwi kujiahangaisha na mikwaruzano ya wanasiasa. Kitabu kizuri sana.

41Dl7FTq17L._AC_SY780_.jpg
 
Msaada pdf ambayo itanisaidia kunifundisha uvumilivu hususani wakati wa changamoto maana Nina roho nyepesi kitu kidogo nakuwa down sana na kukata tamaa.
Atomic Habits by James Clear and Man's Search for Meaning By Viktor Frankl.

Wanna talk about it, BabaMorgan? Sometimes you just need people to talk and relate to.
 
Paula Paul wewe hausomi au haujawahi kusoma vitabu vya kiswali?? hasa vya hadithi, ningependa kujua ni vitabu gani vya hadithi vya kiswahili unapenda au umesoma
Vya hadithi nimewahi kusoma. Kuna mwandishi anaitwa Erick Shigongo ana "Rais anampenda Mke Wangu" na kingine nimesahau jina.

Vitabu vya kiswahili huwa nasoma ila sio sana. Upatikanaji wake ni mgumu kwa upande wangu.
 
"I’M ALONE. I don’t have much food. The temperature is dropping. No one is coming for me. It will be winter soon, and there are so many ways to die out here. If the cold doesn’t get me, the hunger will. If the hunger doesn’t get me, the cold will. Or some wild animal. Or those men will come back .

. . But I’m not dead yet, and someone should know. Someone should know what happened. So I’m writing it down, as best I can. In pieces, because that’s the way it is in my head, all tangled up. There are two beginnings to this story. One of them is on a tarmac in Alaska. The other’s standing on a lakeshore with the rain falling on me like mist, the cabin’s timbers smoldering, sullen and red. I’ll tell you both stories, what happened before my father died and what happened after. And when I’m done or when I’m too weak to write anymore, I’ll leave this notebook where the cabin was. If someone comes looking for us, for me, maybe they’ll find it. So if you’re reading this, I’m probably dead. But for a while, I survived.
My name is Jess Cooper, and I am still alive."

Huo ni utangulizi wa Novel ya I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
Kwa anayetaka kusoma hii hapa ,
Paula naomba mnielekeze book reader nzuri naweza pata hivi vitabu. Pdf hainipi mzuka wa kusoma kwa kweli.
 
Hiyo book reader isiwe inatumia PDF, ERon? Jaribu Readera hapo unaweza kusoma vitabu kwa format zote. Utachagua format utakayoipenda.
 
Back
Top Bottom