Pinkman
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 707
- 1,538
Hatimae kwa haraka haraka nimepitia comments zote. Naweza kusema huu ni uzi bora kwangu tangu huu mwaka uanze.
Pongezi nyingi sana ziende kwa mwanzilishi wa hii mada.
Mimi sitaandika kuhusu vitabu ila nitasema niliyojifunza kupitia maoni mbali mbali ya wadau /washiriki katika huu uzi.
Kupitia comments jimejifunza mambo mengi kuhusu vitabu na waandishi wa vitabu na kujua mambo mengi ambayo sikuwahi kujua kama yapo.
1.Nimejua mambo mengi sana kuhusu Nyerere ambayo nilikuwa siyajui.
2. Nimegundua kwamba Tanzania hatupati haki ya kuwa "British Knighthood" kwa sababu Tanzania tulijenga jamii ya watu sawa isiyo na matabaka na hii ndio sababu Nyerere Alipiga marufuku Uchifu.
3.Nimegundua kumbe mwandishi wa rich dad poor dad hakuwa tajiri kabla ya kuandika hiki kitabu kama alivyotuaminisha na kampuni yake ilifilisika.
4.Nimegundua kwamba mwandishi wa The Road Ahead ambaye ni Bill Gates aliweza kutabiri mambo ya, PayPal (internet based currency, software nk 1995, na mpaka sasa utabiri umetimia.
5.Mimi ni Mkristo sikuwahi kujua mambo ya 'beloved disciple'. Na nimegundua pia kuna historia zinasema huyo beloved disciple alikuwa ni mwanamke.
Na nimegundua pia historia zimewahi kujaribu kumhusisha Christ na mambo ya ugay.
6. Mwisho kabisa nimegundua Jf kuna watu smart sana. Kuna watu wana madini ya kutosha hawapati tuu Uzi wa kutoa hayo madini yao.
Na hapo katikati palikuwa na mada chokozi ya Atheism ambayo nilitamani iendelee nijifunze pia ila wachangiaji wa pande mbili zote walikuwa na hasira kupelekea kuogopa kubadili mwelekeo wa mada.
Pongezi zangu za dhati ziende kwa Mjuni Lwambo Kiranga Khan , Paula Paul , Nowonmai na wengine kwa mijadala na uchambuzi mliokuwa mnaufanya.
Bado naendelea kujifunza.
PS. Haimaanishi nimeamini yote, ila nimegundua kwamba kuna ideas kama hizo zina exist.