Books n stationery

Jeyz62

New Member
Jun 24, 2011
2
0
Baada ya kuona usaidizi na ushauri wanaopata wenzangu ,nikaonelea ni vyema nami nipate ushauri kwa manufaa yangu. Nafikiria kufungua biashara ya books n stationery mjini songea, mwanipa ushauri gani kuhusu biashara hii au ni biashara gani yenye faida na bora kuliko nilio ifikilia. Naomba usaidizi wenu washukran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom