Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,445
Wanajamvi:
Binafsi ni msomaji wa vitabu mbalimbali vya maudhui ya jumla (general knowledge), lakini bado naamini kuna vitabu vizuri na watunzi wazuri ambao sijapata kusoma vitabu vyao. Kwa mantiki hiyo ninapenda kutumia post hii kuwaomba wasomaji mbali mbali wa vitabu kutoa orodha ya vitabu mbalimbali ambavyo wamebahatika kuvisoma na vina maudhui yanayoweza kumsaidia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla.
Binafsi nimeweza kusoma vitabu vya hawa watunzi (Author):
Stephen Norman Pearl - Stay Alive, e.t.c
Malcom Gladwell - Outliers, e.t.c
Napoleon Hill - Think and Grow Rich, e.t.c
Alireza Azmandian - THINK Yourself Successful, e.t.c
Steven Covey - The 7 Habits, The 8th Habit, e.t.c
Jim Collins - From Good to Great, e.t.c
Robert Kiyosaki - Rich Dad, Poor Dad, e.t.c
Robert Greene - The 48 Laws Of Power, e.t.c
Na vinginevyo vingi
Je wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, na je mwezi mmoja uliopita umesoma kitabu gani au vitabu gani?
Naomba tu-share kwa mantiki ya kushawishi kuwapo na wasomaji wengi wa vitabu