Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,346
- 8,268
- Thread starter
- #41
Karibu sanaMkuu Meneja Wa Makampuni ASante sana,nitakutafuta ,ila kwa sasa bado nina diploma,mwka huu nataka kujiunga na bachelor degree,so masters nataka nikaichukulie kwenye nchi za watu,nadhani utakuwa msaada mkubwa kwangu.
Ubarikiwe kwa mchango wako hapa jukwaani