Boniface Mwabukusi ulianza vizuri, sasa unaharibu kwa kuwaponda mlio na lengo moja na waliokutangulia katika kutetea taifa hili toka makucha ya CCM

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,856
75,169
Jiepushe kupambana na CHADEMA na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na CHADEMA na wengine katika mapambano.

Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo hutatoboa.....Lengo lako ni zuri lakini the way forward ni false and falacy!

HILO LIMEKUANGUSHA! REKEBISHA , BADO KUNA MUDA WA KUTOSHA TO FORGE AHEAD. UKOMBOZI HAUJI OVERNIGHT!
 
Jiepushe kupambana na Chadema na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na chadema na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo hutatoboa.....Lengo lako ni zuri lakini the way forward ni false and falacy!
HILO LIMEKUANGUSHA! REKEBISHA , BADO KUNAJUDA WA KUTOSHA
Screenshot_20231004-062550_Lite.jpg
 
Nafikiri kuna watu/kundi fulani walioko nyuma yake. Kundi hilo laweza kuwa linatoka upande wa chama tawala. Hasa lile linalojiona kuwa wao ni Wazalendo zaidi kuliko wengine. Malengo yao ni kuanzisha chama kipya au kama ni kujiunga na Chama kama CDM basi Uongozi wa juu uwe mwingine.

Kundi lile wanafahamu fika kwamba hawatapata nafasi huko kwao hasa tunakoelekea 2025. Wakitimkia CDM huko nako hawatawezi kuaminiwa kwani ndio waliokuwa maadui wakubwa kwa CDM.
 
Onyesha ushahidi
 
lazima CDM kuwa makini sana. Slaa siyo mtu kabisa! angalia tamko lake hili
1696390514694.png
 
Kwa hiyo mtu akiwasema CHADEMA ni kosa? Tatizo la chama hiki ni kujinasibu kupigania demokrasia wakat huo huo hakitaki ku exercise demokrasia
Nshomile gani you can not reason! If you have a common enemy, people with senses will unite agains thtta common enemy! If you have any queries, call your partner and discuss them privately. if you can not do that, then you are doomed!
 
Wakitimkia CDM huko nako hawatawezi kuaminiwa kwani ndio waliokuwa maadui wakubwa kwa CDM.
Aaah chadema ipi unaiongelea!! Watawapokelewa na kuwapitisha nchi nzima wakiwasafisha. Chamsingi maokoto yawepo.
 
Nshomile gani you can not reason! If you have a common enemy, people with senses will unite agains thtta common enemy! If you have any queries, call your partner and discuss them privately. if you can not do that, then you are doomed!
You could better criticize me without including those issues of nshomile and the like.
My point here ni kwamba Mwabukusi katoa maoni yake kwa kile anachoona hakiko sawa so hapaswi kuonekana msaliti sijui anatumwa na mengine mengi.
Kama kweli CHADEMA inapigania demokrasia bas itoe uhuru wa kutoa maoni kwa watu wake pasipo kujali kama hayo maoni yanawafurahisha viongozi au yanawaudhi. Kuendelea kuwaita wasaliti wale wanaowakosoa viongozi wa CHADEMA ni kudhihirisha kwamba hamna tofauti na CCM ambao wamekua wakiwaita wasaliti, wahaini na majina mengine mabaya wale wanaoisema vibaya serikali ya CCM.
 
Sawa mkuu,umeeleweka.
 
Jiepushe kupambana na Chadema na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na chadema na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo hutatoboa.....Lengo lako ni zuri lakini the way forward ni false and falacy!
HILO LIMEKUANGUSHA! REKEBISHA , BADO KUNA MUDA WA KUTOSHA TO FORGE AHEAD. UKOMBOZI HAUJI OVERNIGHT!

Kwamba hakuna asiyeona kuwa lengo lake Mwabukusi ni zuri, kulikoni baadhi yenu kutojikita katika mazuri yake na kushirikiana naye kwenye ukombozi badala ya kujipanga kumkwamisha au kumwonbea kushindwa?

Kwamba mmejipanga kuwa adui yakena mnamwombea njaa?

Hamuoni kuwa mnajianika kuwa hamko tayari kukosolewa? Kwa ku kupaniki kwenu huku mtakuwa mnawapa tabasamu kubwa Lumumba.

Kwamba leo mnaungwavmkono hata na kina Joni, Faiza, mwashambwa, ACT, polisi na hata wasiojulikana dhidi ya Mwabukusi na wenziwe na bado hamjishangai ni jambo la fedheha kubwa ndugu zangu ..
 
Back
Top Bottom