Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,925
- 95,122
Aibu snHotuba iliandaliwa na Bunge , ikiwa imejaa sifa nyingi sana kwa "marehemu" Lissu
Aibu snHotuba iliandaliwa na Bunge , ikiwa imejaa sifa nyingi sana kwa "marehemu" Lissu
Yaaaani Chadema washaona ni ajenda kwao.Typing error tu hiyo
UNAKUMBUKA KWA LISU WALISHAPANGA NA RATIBA KUWA AKIFA AZIKWE SIKU HIYO HIYO NA HAKUNA SALAMU ZA MWISHO..... NDUGAI ALISHARATIBU KILA KITU.CCM walishajiandaa kitambo sn
SECRET SERVICE INFORMATION. uJUE MNAPOPANGA, KUNA WATU KWENYE TEAM YA MIPANGO HAWAPENDI, IT WILL LEAK!Unaweza ileta hapa ratiba ya mazishi hayo unayoyasema?
Ila uuaji wa CCM ndio uongozi? Rubbish. lazima kuwa suspicious na watu wasioaminika. Mtu anakataa tume huru, huyu ni kumwamni? anaogopa nini tume huru? si muuaji wa demokrasia.Yaaaani Chadema washaona ni ajenda kwao.
Kwa kweli kama uwo ndo upinzani taifa bado lina safar ndefuuu san na ccm itaendelea kutawala miaka mingi sanaaaaa
Akisaidiana na mama akoMbowe ndo aliandaa hutuba?
WEKA HAPASECRET SERVICE INFORMATION. uJUE MNAPOPANGA, KUNA WATU KWENYE TEAM YA MIPANGO HAWAPENDI, IT WILL LEAK!
Ili iweje ???Unaweza ileta hapa ratiba ya mazishi hayo unayoyasema?
Ili tusome na kuionaIli iweje ???
Kulikuwa na mchango kutoka kila chama?Hivi CHADEMA walimchangia ngapi kwenye matibabu?
Kamuombe yule aliyeiandaa akupe nakalaIli tusome na kuiona
Ccm ni taasisi kubwa una uhakika gan kama Ccm ndo iliyomua ?Ila uuaji wa CCM ndio uongozi? Rubbish. lazima kuwa suspicious na watu wasioaminika. Mtu anakataa tume huru, huyu ni kumwamni? anaogopa nini tume huru? si muuaji wa demokrasia.
Dunia nzima zina tume huru za uchaguzi, sasa wewe unaogopa nini kama siyo muuaji?
😂😂😂Tuwekee hiyo ratiba na Hotuba kima mmoja wewe
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Kama hamkumchangia ili apone, kinawauma nini angali umautini?Wachangie nini wakati alitishwa akasema yeye haumwi yuko mzima wa afya? Wauaji wakubwa nyie.
Uzuri wa Migombani mko Wamoja 🐼Boniface jacob anasema:
CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.
Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024.
Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni bahati mbaya.? au waliandaa mapema salamu zao za rambirambi wakijua atakufa hivi karibuni..?
Ni kukaa kwa machale.
View attachment 2894981
Unataka tuweke hapa nyaraka ya siri ya serikali , iliyosainiwa na Wazito wa Nchi ?Tuwekee hiyo ratiba na Hotuba kima mmoja wewe
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app