Bongo Movies VS Bongo Fleva

charityboy

Senior Member
Nov 11, 2010
138
4
Hivi vikundi viwili kukutana uwanja wa taifa na kucheza mpira ni ishara kuwa katika utawala huu wa JK maisha bado si mabaya sana kama wanasiasa watoto wanavyodai.

Bongo fujo na Bongo bishoo wamedhihirisha hilo leo.

Yeyote mwenye matokeo anijuze jamani.
 
Back
Top Bottom