Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Jamani mshaiona hii movie ya CHUMO inapigiwa promo sana these days?? KWa ufupi hii movie(nimeipendea mazingira yake ya uigizaji) inaongelea wavuvi wawili( Masharobaro) wakimgombania dada mmoja( ) kimapenzi, ingawa mmoja tayari alikuwa mpenzi wake. Sasa angala scene ya hii movie, inahusu mapenzi kati ya watu wawili wanaogombea mwanamke...lakini mwisho wa hii movie tunaona ugonjwa wa malaria ndio umebeba ujumbe nzima wa movi....yaani ni so cheap-low budget movie...dakika 55 inaongelea mapenzi na hatujui waliishia wapi wale wavuvi...dakika 5 za mwisho eti inajadiliwa ugonjwa wa Malaria...dah..