Bongo movie ni kikundi cha CCM kwa sasa

nyuso zao zinaonyesha kuchoka vibaya..halafu lile bonge sio jb ni jinga sana aisee
sijawahi kumuamini mtu mwenye limwili kama jb au lemutuz,akili zao huwa ni inversely proportion to their bodies...wavivu wa k*nya
Hahaaaaaaaaa
 
Bongo movie hawana akili kabisa, siasa ndio imeua soko lao, badala ya kupambana kuinua soko lao, wao wanaingiza siasa. Niliacha kununua Kazi zao siku nyingi. Hao waliowanunua ndio watanunu movie zao.
 
Wasanii wataendelea kuishi kisanii mpaka kiama, mtu anaigiza anaishi kwenye bangaroo akitoka hapo analudi kwa mtogole kwenye makuti yake,Pambaffffff zao
 
Steve Nyerere anahusle sana yeye anapiga pesa ndefu hao nyuma wanaishia kuvaa jezi tu
 
Mtu anashangaa bongo movie kua ni CCM lakini hashangai ukanda wa kaskazini na kabila fulani kua ni chadema.sijui mnadhani MUNGU ni mzee Jolijo..!
 
Back
Top Bottom