Bongo comedy!

ngasha

Senior Member
Jul 9, 2016
145
74
Habar zenu wadau

Hebu tuangalie hii tasnia ya vichekesho bongo. Kifupi ni kwamba kwa sasa tasnia hii imevamiwa yani uvamizi mkubwa umeingia ktk tasnia hii
Kumekuwa na idadi kubwa ya wachekeshaji na vikundi vya uchekeshaji bongo

MFano wa vikundi ni pamoja na :
Jambo na vijambo , Mizengwe , Ze comedy , Futuhi ,Org comedy nk

MFano was wachekeshaji ni pamoja na : Joti , May fundi , brother K , kazola , Mpoki , Bambo , Mkwere , oketch , kiwewe , masele nawengine weeeengi

Sasa bac ningependa kila mtu amtaje mchekeshaji mmoja tu na kundi moja tu la vichekesho analo likubali Bongo ilitujue wachekeshaji wapi wanajua na wapi ni wavamizi wa fani za watu !

Kazi kwenu majaj
#Ni mtazamo tuu !!
 
jambo na vijambo nawaelewa sana jamaa ni wabunifu wamekuja na kitu kipya. Achana na yule jamaa anaejifanya jesus na cha uroho anakula kama anakimbizwa
 
Pilipili hajawah kunichekesha, kingereza chake cjui hua cha wap kwangu joti, braza k, na senga nawaelewa
 
jambo na vijambo nawaelewa sana jamaa ni wabunifu wamekuja na kitu kipya. Achana na yule jamaa anaejifanya jesus na cha uroho anakula kama anakimbizwa
Sana tuu wale ndo kundi bora la comedy kwa sasa salut kwao

#Ni mtazamo tuu
 
huyo mc pilipili siku ya kwanza utacheka lakini baada ya hapo ni marudio tu hana jipya
 
Back
Top Bottom