Jamaa ni kama anausoma mchezo na yuko makini kuliko Mandongakwa wasiojua mpinzani wa karim mandonga "wa ukae" ni shaaban kaoneka ambaye ni mtanzania pekee kumpiga bondia hassan mwakinyo tena kwa k.o
naam ni bondia mwenye uzoefu, mtoto wa mbagalaJamaa ni kama anausoma mchezo na yuko makini kuliko Mandonga
heee hkn kituu hpooRound ya kwanza tayari hakuna aliyepata ngumi ya maana
Mandonga anapigwa hapo hamna kituHii mechi inaweza kwenda draw
Mmmh lini hyokwa wasiojua mpinzani wa karim mandonga "wa ukae" ni shaaban kaoneka ambaye ni mtanzania pekee kumpiga bondia hassan mwakinyo tena kwa k.o
Mandonga game changer namfuatilia kanivutia kwa bongo hii namuona mbali sana akipiga dili za matangazoInshort Mandonga amewarudisha watu kwenye kushabikia ngumi
Yeah inaonekana anapigwaMandonga anapigwa hapo hamna kitu
Mandonga hata asiposhinda atapata japo ubalozi wa dume kondomMandonga game changer namfuatilia kanivutia kwa bongo hii namuona mbali sana akipiga dili za matangazo