mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,834
- 3,530
Tupeni updates, round ya ngapi? Nani kazidiwa?
Round ya 6 bado wanaviziana, Ila mzungu anacheza faulo sana.Tupeni updates, round ya ngapi? Nani kazidiwa?
Hata mi nimemuuaWapi wazee wa mkeka...leo my weather anakaa
by emma mjasiriamali
Tbc
Maywether hii round kachachamaa hatari. kamgea makonde ya kufa mtu mzunguTupeni updates, round ya ngapi? Nani kazidiwa?
Updates Mkuu...nini kinaendeleaRound ya nne lakin huyu mzungu anacheza rafu nyingi inaelekea atakaa sio mida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu mkeka umechanika huoMi nimemuua mywether kwenye mkeka nasubiri mesej ya M-PESA apa
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?