Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Nasubiri kwa hamu .
Pambano lenyewe sasa hivi ni undercard.
Lisaa na robo imebaki.
 
Hili pambano kama unategemea Online Streaming inabidi uweke laptop mezani ufanye kazi ya ziada, maana jamaa wanajitahidi ku-shut down link zote zinazoonyesha live. Nasikia wanawatishia watu kwamba watawashitaki, hivyo hapa natafuta channel nyingine kila baada ya dakika 15, jamaa wameamua kupiga hela si kitoto
YouTube tayari wameshaweka tangazo kuwa hakuna live streaming

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, another option, nenda kwenye Instagram live. kule kuna jamaa wanafanya live streaming pia. Kuna huyu dada, "combattvveteran" alikuwa hewani lakini sasa hivi kasema anasubiri mpambano wenyewe ndio ataonyesha live. Ni clear channel
 
Screenshot_2017-08-27-06-25-58.png
game liko hapo sport tv 1 portuguese... MOBDRO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-08-27-06-29-57.png
Screenshot_2017-08-27-06-29-46.png
IMG_20170827_063224_753.jpg


kwa watumiaji wa Android kuna App inapatikana katka Apk format una weza i google..
Note!..
haipo playstore so google Mobdro Apk utaipata then
cheki sports channel una weza iona kweny Channel ya Sport Klub1
...
Mapambano ya Utangulizi ndio yana endelea mtanange wenyewe bado hauja anza apa

Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
 
Okay, another option, nenda kwenye Instagram live. kule kuna jamaa wanafanya live streaming pia. Kuna huyu dada, "combattvveteran" alikuwa hewani lakini sasa hivi kasema anasubiri mpambano wenyewe ndio ataonyesha live. Ni clear channel
Mkuu hilo jina mbona halipo

Qaluu lamnakuminal musswalliin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom