Bomu lingine lalipuka Mbagala

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Habari zilizotufikia zinasema bomu moja limelipuka jana katika kiwanja cha mtu wakati mtoto wake wa kazi akifanya usafi uwanjani,,,habari zaidi zinasema alipata majeraha kidogo akuna aliekufa.............
KAZI KWENU JWTZ tuchachoka na mabomu jamani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom