Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Neamini kuwa Mwigulu analindwa na Polisi baada ya kumhamisha Hotelini kisirsiri chini ya ulinzi Mkali
 
it doesnt make sense yaani huo mkutano ulikuwa na nini mpk watu wauliwe??? na bou hilo kweli tanzania tumefikia pabay,nchi itaangamia tutakapoanza siasa za kulipiziana visasi wao wametuua na sisi tujibu,mungu tujaalie moyo wa subira na uvumilivu
 
Yote yanawezekana kwa Chamdomo kwani nao kwa siasa chafu ni vinara wa kubwa, any way tusubiri taarifa kamili tusije tukapakana matope kumbe hasidi yu wazi.

Unajua ww ni mjinga sana pumbav ww..watu wako seriaz katka mambo ya msingi unaleta ufala hapa..nadhan akat unazaliwa ulianza miguu mbwa koko ww
 
usiku huu Mwingulu Mchemba amehamishwa HOTELINI na maaskari kwa usalama wake alikuwa hapa Sterio Hotel chumba namba 214 na haijulikani amehamishiwa wapi na walizima taa zote wakampitisha Jikoni na kuelekea kusikojulikana

wewe ndiyo wauwaji unafuatilia mpaka chumba cha mwigulu wa kazi gani au unampango gani naye fanyeni tu mfanyavyo mungu anajua na maisha hayapo duniani tu adhabu yenu mtaikuta tu.
 
nafikiri Tanzania na dunia nzima inaona jinsi CCM inavyoshiriki kwenye matendo ya ugaidi na kuna haja ya kuwasilisha ushahidi state dep. na UN ili CCM IINGIZWE RASMI KWENYE VITABU KAMA NI CHAMA CHA UGAIDI NA SIYO CHA SIASA
 
Hapa inamaana Polisi walipiga mabomu ya machozi kumpa mwanya muhusika kukimbia,inauma sana mtu unaemuamini awe mlinzi wako kumbe ndie adui yako...Hii polisi itajuta kwa haya inayoyafanya,kama serekali inawatoa roho wananchi wake haitakaa iwe na huruma na umaskini wa mtanzania.

mkuu mimi nilivyoelewa pale baada ya lile bomu la mkono kurushwa, kuna raiya walikua mbali kidogo hasa wale waliokua kwenye usawa uwanja wa mpira wa miguu walidhani ni polisi wameanza kupiga mabomu ya machozi na wao wakaanza kujitetea kwa kuwapiga kwa mawe ndipo polisi nao wakaanza kutupa mabomu ya machozi hovyo.
naamini polisi wasingerusha mabomu ningeweza hata kumkamata muhusika kwa mikono yangu mwenyewe kwasababu alikua karibu yangu sana.


cc to Mungi
 
Last edited by a moderator:
Hata Kama we ni mfuasi wa chama tofauti utalipwa shilingi ngapi ukaue watanzania wenzio daah Inauma sana watanzania tulipofikia anyway najua watasema ni Mkenya tena watanzania wavumilivu ila sio wajinga tunapoelekea sio kwenyewe
 
Tunapaswa tuombee amani ya nchi yetu. Muendelezo wa mauaji na uonevu wa raia unaotokea Arusha pasipo kujali chama kwa kweli haikubaliki. Mungu tuepushe na huu udhalimu. Mungu walaze mahala pema wote walofariki.
 
ccm kuweni makini na huyu mtu...kwa siasa zake chafu na kauli anazo toa azistahili kabisa na matokeo ya kauli zake majibu yanaonekana.
Hakika atawapa wakati mgumu sana kumnadi mgombea wenu wassira 2015...kwa sababu amtauzika kabisa kwa vitendo vyenu vya kinyama na kusababisha maisha ya watu kupotea...na pia nashanga sana usala wa taifa umeweka kambi arusha hii ni week ya pili lakini mambo kama haya yanatokea ni upuuzi wa hali ya juu sana na inauma sana kuona leo tufikie mahali tuogope kukusanyika mahali kwa kuhofia kulipuliwa.
 
Hizo ni siasa za uchochezi kama za mfa maji' kama mna ushahidi wa hayo yaliyotokea peleken kwenye vyombo vya sheria' hzo kafara mnazozitoa nyinyi cdm na kusingizia CCM zitawatokea puani' tumekuwa na vyama vingi vya upinzani nchi hii na Afrika kwa ujumla ila sijaona chama chenye siasa za kipuuzi na kipumbafu kama cdm kisichojua hata thaman ya uhai wa watu?????

Kama hamhusiki mbona wahalifu wasikamatwe? Watanzania wa leo sio wale wa 1995 hadi 2005, hatudanganyiki hata vijijini tunahisi ni ccm kwa sababu kila walipohusika hakuna hatua zilizochukuliwa. Hamkuapa kulinda katiba? Tena kwa kushika vitabu vitakatifu vya Mungu. Mnatubagua Watanzania kwa itikadi zetu? Hakika hii dhambi hata vizazi vyenu havitakuwa salama.
 
Waliopoteza maisha ni watanzania wenzetu!

Je, kuna kiongozi yeyote wa serikali aliyetembelea eneo la tukio?

Je, kuna kiongozi wa serikali aliyetembelea majeruhi hospitalini?

Je, kuna pole kutoka kwa Mkuu wa Mkoa au wa wilaya au popote katika ngazi ya juu zaidi.

Kama haya yote hakuna, natafakari..............................

wapo busy wana synchronise cha kusema...si unajua dili limeahribika?watu wamechapwa mt.meru nadhani walipewa amri wasipokee watu....wakagoma wanatak PO3 ktk tukio la dharura la kushambuliwa watu wengi.
 
Jiulize kwanini Leo na siyo Jana? Hivi miaka yote AR ilikuwa kisiwa cha Amani Leo hii duu Lima kaharibu kila kitu. Mambo hayaendi AR, uchumi umedorora na wasipoangalia utakufa kabisa. Lima ni janga kubwa la AR

CCM wameshindwa kwingi:Lema ni "Right entity", "Kuna vikao vingi sana vya kuwapiga vita wachaga nchi nzima", "Ndani na nje ya CCM", CCM baada ya kushindwa kuwaangamiza Kilimanjaro, wamekuwa wakiumia sana kichwa.Kwani wachaga hawapo kapu moja wamalizwe...ndanii ya CCM, wamejaribu hawakupata wa kutosha, wakaamua wafuta ktk vyama vingine....TLP,NCCR, sasa wanawafuata ktk CDM...ccm wamekuwa concern sana na wachaga wa CDM na si wa vyama vingine kwa vile wameshindwa waa accomodate.

Niliweka thread hii on time...CCM wanwashwa na wachaga hata walio nje ya chama chao.

https://www.jamiiforums.com/habari-...-semeni-wapi-mmedhulumiwa-14.html#post6591701
 
Wewe binti, tunaomba usiendelee kutuuzi... tunamachungu tumepoteza ndugu zetu... naomba urudi kwenu salama
 
Mgema akisifiwa tembo hulitia maji, Mwigulu amesifiwa kesho atageuka kuwadhulu wapinzani wake ndani ya CCM
 

mkuu mimi nilivyoelewa pale baada ya lile bomu la mkono kurushwa, kuna raiya walikua mbali kidogo hasa wale waliokua kwenye usawa uwanja wa mpira wa miguu walidhani ni polisi wameanza kupiga mabomu ya machozi na wao wakaanza kujitetea kwa kuwapiga kwa mawe ndipo polisi nao wakaanza kutupa mabomu ya machozi hovyo.
naamini polisi wasingerusha mabomu ningeweza hata kumkamata muhusika kwa mikono yangu mwenyewe kwasababu alikua karibu yangu sana.


cc to Mungi

kwahiyo mkuu aliyelirusha mmepata taarifa zake zozote za utambulisho wake au kama ameshatiwa mikononi?
 
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana..umejawa na ubaguzi wa udini na ukabila....laana ikutafune popote pale ulipo

kwani mimi ndie nilisema "Siwezi jiunga CDM kwa vile mimi si mchaga", kwanini mimi ndie nilisema "Kasakazini wasite kushika nchi"? soma hii thread uone jinsi wachnagiaji wanavyosema chuki dhidi ya wachaga.Kwani wachaga hawana haki ya kutawala na kujitetea wanaposhambuliwa?
https://www.jamiiforums.com/habari-...-semeni-wapi-mmedhulumiwa-14.html#post6591701
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom