Bomba la Tanzania - Zambia mafuta -TAZAMA kupanuliwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
Hayo yamejiri baada baada ya mamlaka ya kusimamia nishati ya Zambia ERB kukutana na EWURA mamlaka ya Tanzania.

Bomba la TAZAMA lina urefu wa kilometa 1710 na lilikamilika ujenzi wake zaidi ya miongo mitano iliyopita yaani mwaka 1968

Pia mamlaka hizo ziimegusia bomba la gesi NGP toka Tanzania hadi Zambia kusafirisha gesi inayozalishwa nchini Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=gVbykTAEUqo
Mwenyekiti wa bodi ya ERB ya Zambia Reynolds Bowa na mwenyekiti wa bodi ya EWURA Prof. Mark Mwandosya wameongeza kuwz bajeti, muda wa kukamilisha na jina la mandalas wa mradi huo wa kupanua bomba la TAZAMA utajulikana mwezi April 2024 kwani suala hilo ni nyeti na muhimu kiuchumi kwa nchi hizi mbili.

Pia mwenyekiti wa bodi ya EWURA Prof. Mark Mwandosya asema watachukua uzoefu wa ERB katika kusimamia umeme wa pamoja SASP unaochukua umeme toka nchi kadhaa za kusini mwa Afrika kuusambaza nchi mbalimbali za ukanda huo ili kukidhi mahitaji ya nchi za kusini zisipungukiwe umeme.
The SAPP was created in August 1995 at the SADC summit held in Kempton Park, South Africa, when member governments of SADC (excluding Mauritius) signed an Inter-Governmental Memorandum of Understanding for the formation of an electricity power pool in the region under the name of the Southern African Power Pool. The ministers responsible for energy in the SADC region signed the Revised Inter-Governmental Memorandum of Understanding on 23 February 2006 source: Southern African Power Pool

15 September 2023

TAZAMA pipeline to be expanded

The Energy Regulation Board ERB says the expansion of the TAZAMA pipeline is a matter of urgency. ERB Board Chairperson REYNOLDS BOWA says the regulator has engaged its Tanzanian counterpart to plan for the expansion of the TAZAMA pipeline.

Speaking when he met EWURA Board Chairperson MARK MWANDOSYA in Dar-es-Salaam Tanzania, Mr. BOWA expressed hope that a budget, timelines and a project name will be put in place by April next year to kick-start expansion works of the TAZAMA pipeline.

Source : ZNBC today
 
Good strategy. Though Africa needs to walk away from colonial foolishness and adopt a new framework for regional and continental integration
 
Back
Top Bottom