Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boil the brain yoo...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Greater thinker, Dec 11, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nguo inauzwa sh.10,000 na unahitaji kuinunua lakini hauna pesa,unaamua kwenda kumkopa kaka yako sh.5000 na dada yako sh.5000.
  Unapokwenda kununua nguo ile unakuta bei imeshuka na kuwa sh.9700.Unanua kwa sh.9700 na kurudishiwa sh.300 kisha unaamua kupunguza deni kwa kaka yako unamlpa sh.100,na dada yako pia unamlipa sh.100!hvyo ukabaka unadaiwa 4900 kwa kaka yako na 4900 kwa dada yako yoo ukijumlisha ni sh.9800 + ela uliyobakiwa nayo sh.100=9900!swali sh.100 imeenda wapi yoo?
   
 2. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  Yaani hili swali huwa linanichanganya mpaka baasi....hako kamia kakaenda waaaaapi??
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,178
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  IIIIISH...yaaan wooote nyie vichwa maji...hiyo si ulitumia kwenye nauli..??!! umesahau kama ulikuwa na 200 tu mfukoni kabla hujaenda kukopa!!? sasa je...!!?
   
 4. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmh......:tongue:
   
 5. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Read me well:
  Total received: 10 000 (from siblings)
  Total spent: 9 700 (nguo) and 200 (kupunguza deni)
  Balance: 10 000- 9 900=100 (mfukoni)
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Mbona hiyo hisabu ni cha mtoto sana.

  Kwa maelezo yako kuwa umekopa 5000 x 2 = 10000, kwa watu wawili tofauti:

  Kaka: 5,000
  Dada: 5,000
  Jumla: 10,000

  Nguo inauzwa 9,700

  Umerejeshewa: 300
  Umetoa 100x2=200

  Umebakiwa na 100

  Hapo ni hivi:
  Hiyo 9700 unaigawanya mara mbili, unapata 4850 ambayo ndio pesa halisi uliotumia toka kwa kila mmoja. Umerejeshewa 300 na kuwapa kila mmoja 100 na kubakia na 100 ambayo unapaswa uigawanye mara mbili na kuwapa kila mmoja 50

  Kwa hiyo hapo baada ya kuwarejeshea 100 kila mmoja na ile mia uliyobakia nayo ukiigawa mara mbili utawapa 50 kila mmoja na deni litakalobakia kwa kila mmoja ni 4850 x 2 = 9700 + 150x2 = 10,000
   
 7. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umetumia 4850 ya kaka yako, na 4850 ya dada yako kununua nguo.

  Ukiwarudishia mia mia unkua umetumia 4850 ya kaka yako dukani/gengeni, na 100 ya kaka yako kwake yeye kaka yako, jumla 4950.

  Utakuwa pia umetumia 4850 ya dada yako dukani/gengeni, na 100 ya dada yako kwake yeye dada yako, jumla 4950.

  Jumla ya hela ulizo tumia ni 9900, na umebakiwa na mia mfukoni.

  In other words......hiyo mia imeenda mfukoni mwako!
   
 8. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Siyo jibu mkuu,mia haipo mfukoni boil again your brain yoo
   
 9. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 500
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Acha kujumlisha madeni wewe.
   
 10. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Boil your brain yoo...
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,152
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 145
  Nilinunua Big G kwa mangi.
   
Loading...