Bodi ya mipango iundwe kuzibiti ufujaji na mipango holela ktk halmashauri zetu

CHIMPONGO

Member
Feb 6, 2012
43
3
Ni wakati sasa Tanzania kufikiria na kuanzisha chombo kitacho ratibu na kusimamia shughuri za mipango ya maendeleo ktk halmashauri na taasisi mbalimbali. kwa kuzingati uwepo wa chuo cha mipango -Dodoma na taasisi nyingine zinazalisha wataalamu ambao aidha hawapati nafasi au wanatumia nafasi zao isivyo ndio maana tumekuwa na mipango holela na dhaifu ktk kufikia adhima ya maendeleo ktk ngazi mbalimbali.
Ni uwepo wa chombo/bodi ya mipango ambapo mipango yetu ya kimaendeleo yaweza kupangwa na kuratibiwa vema ktk muda mrefu,wa kati na mfupi hivyo kuondokana na mfumo wa kuendesha shughuli zetu kisiasa.
 
Back
Top Bottom