Bodi ya Mikopo yakaribisha maombi mapya ya mikopo kwa waliopangwa UDOM Special Diploma

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Bodi ya mikopo imetoa tangazo la kukaribisha maombi mapya ya mikopo kwa wanafunzi walipangiwa kusoma diploma maalum ya sekondari na msingi chuo kikuu cha Dodoma kutuma maombi ya mikopo.

Ilianza tar 18 nov na mwisho n 2 dec 2015.

Tembelea webste yao.
 
bodi ya mikopo imetoa tangazo la kukaribisha maombi mapya ya mikopo kwa wanafunzi walipangiwa kusoma diploma maalum ya sekondari na msingi chuo kikuu cha dodoma kutuma maombi ya mikopo. ilianza tar 18 nov na mwisho n 2 dec 2015. tembelea webste yao

hahahaha
 
Back
Top Bottom