Bodaboda zafunga barabara hadi Mwananyamala.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
bodaboda karibia 1800 ktoka maeneo ya tegeta,mbezi beach na kawe zimefunga barabara kuelekea mwananyamala kumuona mwenzao aliye gongwa. Inasemekena aliyegogwa/dreva mwenzo kafa so wanaenda kulinda mwili usiibiwe.
Yaani ntakusa mwendelezo wa habari coz wamenikuta vibaya. wangenikuta nina pikipiki lazima ningeunga tela hadi nijue nini kinaendelea. haya ni maandamano yasio na kibari coz magari yote napisha. mi wamenipita bamaga wanguwangu mbaya.
boda-voda.jpg

images

boda.jpg

mia
 
Hao sikuizi wanajiona wako juu ya sheria, wakati asilimia 90 hawana leseni na wanaendesha kihatari sana. Ningekuwa na uwezo ningewatembezea kichapo mpaka wapagawe!
 
ni bangi tu zimewaelekeza huko wameanzia mbezi beach pale makonde, nilikuta wanamkutano baada ya hapo mkuu wa mabangi kalianzisha
 
rip marehemu...
Ila ukweli ni kuwa bodaboda ni headache.... Kwanza hawajui sheria za barabarani....
Pili wapo rough sana barabarani.....
Tatu wana vurugu hata kama kosa ni lao......

Kuna haja ya kuwadhibiti......

Mwaka jana mwishoni nilienda tra wanipe fomu nimbe leseni mpya, wakati nauliza taratibu nk akaja dereva wa pikipiki anataka fomu, alipoulizwa alienda shule kujifunza yule dereva akashangaaa.... Then akamuuliza yule afisa wa tra 'pikipiki wanaenda shule? Kwa nini?

Sasa fikiria mwenyewe.....
 
...............kuna Mmarekani rafiki yangu alifananisha usumbufu wao na "mosquito" !
Nashangaa mchumi daraja la kwanza (Mwigulu) kashauri watozwe kodi, ati ni kuongeza wigo wa mapato !
 
Mara nyingi wao ndio huwa wanamakosa, na hawajui sheria, Pikipiki hazifai, si salama kabisa kutumia kama usafiri wa abiria. Maeneo ya mijini hazifai kuonekana kabisa. kwanza zinachafua mazingira.
 
bodaboda karibia 1800 ktoka maeneo ya tegeta,mbezi beach na kawe zimefunga barabara kuelekea mwananyamala kumuona mwenzao aliye gongwa. Inasemekena aliyegogwa/dreva mwenzo kafa so wanaenda kulinda mwili usiibiwe.
Yaani ntakusa mwendelezo wa habari coz wamenikuta vibaya. wangenikuta nina pikipiki lazima ningeunga tela hadi nijue nini kinaendelea. haya ni maandamano yasio na kibari coz magari yote napisha. mi wamenipita bamaga wanguwangu mbaya. Mia

duu hatari si kidogo..
 
Nilishawahi gongwa kwa nyuma ya gari na kibwana mdogo kimoja nadhari kina km 19yrs hivi pale karibu na salender bridge, dk 3 pikipiki km ishirini zikajaa pale waliposikia kajamaa kananiomba msamaha wote wakapukutika. Trafick akaja pale alipoomba leseni kajamaa hakana, gari ilibonyea kidogo sana haikuchubuka askari akakaombea msamaha, hapo hapo akakaambia toa alfu kumi, kakatoa, akakaruhusi kuelekea town tena kalikuwa na abiria. jiulize hao wote ambao hawana leseni ni mtaji kwa traffic. Siwapendi kabisa hawa madereva wa bodaboda hawafuati sheria barabarani
 
si ndo ajira alizoahidi Jk hizi au nakosea.maana anahesabu mpaka hgousegirl wa mama gaude kuwa naye ame create ajira..daah tuna rais bogus sana sisi sijui tumemkosea nini mungu
 
Nadhani walipofika Mwananyamala walielezwa kuwa jamaa yao kaletwa Muhimbili! Loh, wamepita eneo la mortuary, wamenuna hao, wako kasi na wengi hawana helmet na baadhi mishikaki
 
kweli Bangi mbaya,lakini sio wote wavuta Bangi ila Mkumbo ni mbaya,licha ya mwenzao kugogwa,sijaona mantiki ya kufunga barabara.
 
Yaani hawa ni janga......
Kuna siku nilikua kempiski tulisimamishwa na trafik kusubiri msafara upite, jamaa wa pikipiki akalazimisha kupita, ilibidi trafiki wamdake akaelekezwa kupaki pembeni alivyochepuka pembeni akataka kukimbia wakamdaka tena, kukauliza hakana leseni, kwa vile
kuna kituo karibu wakamwambia akokote pikipiki aende kituoni, yaani trafiki kugeuka pembeni akataka kukimbia tena, wakamdaka si kumfumua makofi na mitama.......

Hawa watu ni headache kabisa....

Nilishawahi gongwa kwa nyuma ya gari na kibwana mdogo kimoja nadhari kina km 19yrs hivi pale karibu na salender bridge, dk 3 pikipiki km ishirini zikajaa pale waliposikia kajamaa kananiomba msamaha wote wakapukutika. Trafick akaja pale alipoomba leseni kajamaa hakana, gari ilibonyea kidogo sana haikuchubuka askari akakaombea msamaha, hapo hapo akakaambia toa alfu kumi, kakatoa, akakaruhusi kuelekea town tena kalikuwa na abiria. jiulize hao wote ambao hawana leseni ni mtaji kwa traffic. Siwapendi kabisa hawa madereva wa bodaboda hawafuati sheria barabarani
 
Hao sikuizi wanajiona wako juu ya sheria, wakati asilimia 90 hawana leseni na wanaendesha kihatari sana. Ningekuwa na uwezo ningewatembezea kichapo mpaka wapagawe!
ndo wataongoza kwa kulipa kodi mwaka huu. mia
 
Mara nyingi wao ndio huwa wanamakosa, na hawajui sheria, Pikipiki hazifai, si salama kabisa kutumia kama usafiri wa abiria. Maeneo ya mijini hazifai kuonekana kabisa. kwanza zinachafua mazingira.

heee! mazingira gani mkuu mwaga data tujehe
 
Hilo ni jeshi,kuna siku watakuja kufanya kitu mbaya,tutabakia tunajilaumu!

Back
Top Bottom