Bodaboda zafunga barabara hadi Mwananyamala.

Hao sikuizi wanajiona wako juu ya sheria, wakati asilimia 90 hawana leseni na wanaendesha kihatari sana. Ningekuwa na uwezo ningewatembezea kichapo mpaka wapagawe!

Nchi hii kila kukicha kunazuka majanga ya Taifa. Hawa Bodaboda ni janga kubwa sana la taifa. Mtu anapewa pikipiki na mjomba wake anajifunzia uwani akijua kuiondoa tu kesho yupo na abiria morogoro road anayumba kila mahali! Hawajui chochote kuhusu usalama barabarani unakuta huyu anakupita kulia mwingine kushoto; ukimgonga tu mmoja basi wanakuja hata wa kutoka kibaha kazi ni kukushambulia na kuondoka na roho yako. Hawajui nani alikuwa na kosa wala nini wao hata ukizozana na mmoja wao akasema tu huyu alikuwa anataka kuniibia bodaboda basi ujue ndio mwisho wako huo. Wameua watu wengi sana wasio na hatia.
Madereva wa Boda Boda ni JANGA LA TAIFA inabidi litafutiwe ufumbuzi.
 
kafa msanii mkafunga barabara kafa dereve wa bdbd eti hectic acheni hzo.....
kuwa na leseni sio kigezo cha kupunguza ajali......
RIP suka mwenzangu
 
mzee wa 100 asa na hao wa boda hapo juu walikuwapo?
huo ndo naitaga usafiri kafiri
bodaboda karibia 1800 ktoka maeneo ya tegeta,mbezi beach na kawe zimefunga barabara kuelekea mwananyamala kumuona mwenzao aliye gongwa. Inasemekena aliyegogwa/dreva mwenzo kafa so wanaenda kulinda mwili usiibiwe.
Yaani ntakusa mwendelezo wa habari coz wamenikuta vibaya. wangenikuta nina pikipiki lazima ningeunga tela hadi nijue nini kinaendelea. haya ni maandamano yasio na kibari coz magari yote napisha. mi wamenipita bamaga wanguwangu mbaya.
boda-voda.jpg


images


boda.jpg


mia
 
Back
Top Bottom