Bodaboda acheni kujichomeka katikati ya haya Malori makubwa ni kifo nje nje

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Nilikua na route flani ya haraka basi ikabidi nikodi boda,

Kama kawaida yao kuchomekea na kujipenyeza, kufika mataa akaingia kati kati ya Semi trela kubwa mbili, moja imekula kilemba cha mbao Mpaka pomoni.

Nyingine ina Tank la mafuta, na kiboda chetu tupo kati kati, Achilia mbali tuu na hili la leo ila binafsi sipendagi kuingia kati kati ya Haya malori makubwa, Yaani yanatisha.

Jamaa kaona mbele gap ni dogo ila kaingia, nikamwambia ila akawa mbishi, kufika kati foleni ikaruhusiwa huko mbele, midude ishaanza kuchekechwa, Ukicheki kulia ni Engine zinanguruma, kushoto ni Mitairi inakukwaruzaaa.

Hapa Naangalia nyuma Kuna Bonge ya Tandam imeziba gap, Nikamwambia piga honi, ila nikawaza kabisa hapa kwa hii mikelele ya Engine hazitasikika.

Nikajiuliza hivi hawa jamaa wanajua hata kama wametubananisha hapa ili wachukue tahadhari?
Nikawaza pengine wanajua kwa site mirrors ila wanajali? au ndio ile kuwapuuza boda sababu yauzembe wao,

Hapa sasa joto likaanza kupanda, nikawa nashuka, akaniambia usishuke ndio utaharibu? Nikamuuliza hapa wewe una plani gani? Akajibu hii ishamtokeaga mwana mbona?

Nikaona huyu anautani na maisha yangu, kumbuka hapo sterling haichezi maana imebananishwa huku na kule.

Nilijizuia sana nisipanic, hasa kuona yale madude yakichekechwa na mikelele.

Nikawaza nipite chini, likiwashwa jee?

Yule wa nyuma yupo side ambayo kama hatuoni vzr, nikirudi kumfuata ngoma zikaanza kutembea na yeye ikawa hajui?

Wazo lilikua moja tu, nipite kati kati ya kichwa na trela, , issue najuaga pale panakua na moto sana jee ni sehemu ipi inakuaga na moto?

Jamaa kumcheki naye ashapaniki anaita tuu bila kusikikaa, kuona vile sikuwaza tena kuhusu kuungua nilikanyaga huku na kule nikashika mbao huku nikiwa siamini ninachofanya nikaruka nikatua na miguu, mikono na kichwa, unaweza ukavuta picha nilituaje..

Jamaa yangu kuona mambo yamekua magumu, akasaliti boda ile anapanda goma likawashwaa, watu wakampigia kelele asiruke.

Akashika mbao akaenda nalo mpk mbele lilivyosimama akaruka tukamdaka(aliungua kdg mkononi), pikipiki ikaenda chini, ikapitiwa kwenye sterling na taili ya mbele kwa mbali, tukazuia gari kdg tukaiburuza, Nikampa Pole nikampa buku 2 yake nikampa na 5 nyingne ya pole kutokana na Nilivyoweza.

Boda.jpg
 
Nilikua na route flani ya haraka basi ikabidi nikodi boda,

Kama kawaida yao kuchomekea na kujipenyeza, kufika mataa akaingia kati kati ya Semi trela kubwa mbili, moja imekula kilemba cha mbao Mpaka pomoni,
Nyingine ina Tank la mafuta, na kiboda chetu tupo kati kati, Achilia mbali tuu na hili la leo ila binafsi sipendagi kuingia kati kati ya Haya malori makubwa, Yaani yanatisha..

Jamaa kaona mbele gap ni dogo ila kaingia, nikamwambia ila akawa mbishi, kufika kati foleni ikaruhusiwa huko mbele, midude ishaanza kuchekechwa, Ukicheki kulia ni Engine zinanguruma, kushoto ni Mitairi inakukwaruzaaa,

Hapa Naangalia nyuma Kuna Bonge ya Tandam imeziba gap, Nikamwambia piga honi, ila nikawaza kabisa hapa kwa hii mikelele ya Engine hazitasikika,
Nikajiuliza hivi hawa jamaa wanajua hata kama wametubananisha hapa ili wachukue tahadhari?
Nikawaza pengine wanajua kwa site mirrors ila wanajali? au ndio ile kuwapuuza boda sababu yauzembe wao,

Hapa sasa joto likaanza kupanda, nikawa nashuka, akaniambia usishuke ndio utaharibu? Nikamuuliza hapa wewe una plani gani? Akajibu hii ishamtokeaga mwana mbona?
Nikaona huyu anautani na maisha yangu, kumbuka hapo sterling haichezi maana imebananishwa huku na kule,

Nilijizuia sana nisipanic, hasa kuona yale madude yakichekechwa na mikelele,
Nikawaza nipite chini, likiwashwa jee?
Yule wa nyuma yupo side ambayo kama hatuoni vzr, nikirudi kumfuata ngoma zikaanza kutembea na yeye ikawa hajui?

Wazo lilikua moja tuu, nipite kati kati ya kichwa na trela, , issue najuaga pale panakua na moto sana jee ni sehemu ipi inakuaga na moto?

Jamaa kumcheki naye ashapaniki anaita tuu bila kusikikaa, kuona vile sikuwaza tena kuhusu kuungua nilikanyaga huku na kule nikashika mbao huku nikiwa siamini ninachofanya nikaruka nikatua na miguu, mikono na kichwa, unaweza ukavuta picha nilituaje..

Jamaa yangu kuona mambo yamekua magumu, akasaliti boda ile anapanda goma likawashwaa, watu wakampigia kelele asiruke,

Bila tipicha picha hata hatukuelewi🤔
 
ukiona bodaboda hataki kufuata sheria za barabarani au hataki kupita sehemu zuri, tangu mwanzo wa safari hadi mwisho ni honi tu pwipwi pipiiii piii..

Basi elewa kwamba, huyo ni mkataa pema na hivyo pabaya panamuita kwa sauti kali sana na utajikuta na wewe abiria unakata moto kama mzamiaji vile kwenye shuhuli ya watu....
 
Mwite mtakakufa,au marehemu anayetembea🤣
 
Nilikua na route flani ya haraka basi ikabidi nikodi boda,

Kama kawaida yao kuchomekea na kujipenyeza, kufika mataa akaingia kati kati ya Semi trela kubwa mbili, moja imekula kilemba cha mbao Mpaka pomoni,
Nyingine ina Tank la mafuta, na kiboda chetu tupo kati kati, Achilia mbali tuu na hili la leo ila binafsi sipendagi kuingia kati kati ya Haya malori makubwa, Yaani yanatisha..

Jamaa kaona mbele gap ni dogo ila kaingia, nikamwambia ila akawa mbishi, kufika kati foleni ikaruhusiwa huko mbele, midude ishaanza kuchekechwa, Ukicheki kulia ni Engine zinanguruma, kushoto ni Mitairi inakukwaruzaaa,

Hapa Naangalia nyuma Kuna Bonge ya Tandam imeziba gap, Nikamwambia piga honi, ila nikawaza kabisa hapa kwa hii mikelele ya Engine hazitasikika,
Nikajiuliza hivi hawa jamaa wanajua hata kama wametubananisha hapa ili wachukue tahadhari?
Nikawaza pengine wanajua kwa site mirrors ila wanajali? au ndio ile kuwapuuza boda sababu yauzembe wao,

Hapa sasa joto likaanza kupanda, nikawa nashuka, akaniambia usishuke ndio utaharibu? Nikamuuliza hapa wewe una plani gani? Akajibu hii ishamtokeaga mwana mbona?
Nikaona huyu anautani na maisha yangu, kumbuka hapo sterling haichezi maana imebananishwa huku na kule,

Nilijizuia sana nisipanic, hasa kuona yale madude yakichekechwa na mikelele,
Nikawaza nipite chini, likiwashwa jee?
Yule wa nyuma yupo side ambayo kama hatuoni vzr, nikirudi kumfuata ngoma zikaanza kutembea na yeye ikawa hajui?

Wazo lilikua moja tuu, nipite kati kati ya kichwa na trela, , issue najuaga pale panakua na moto sana jee ni sehemu ipi inakuaga na moto?

Jamaa kumcheki naye ashapaniki anaita tuu bila kusikikaa, kuona vile sikuwaza tena kuhusu kuungua nilikanyaga huku na kule nikashika mbao huku nikiwa siamini ninachofanya nikaruka nikatua na miguu, mikono na kichwa, unaweza ukavuta picha nilituaje..

Jamaa yangu kuona mambo yamekua magumu, akasaliti boda ile anapanda goma likawashwaa, watu wakampigia kelele asiruke,

Akashika mbao akaenda nalo mpk mbele lilivyosimama akaruka tukamdaka(aliungua kdg mkononi), pikipiki ikaenda chini, ikapitiwa kwenye sterling na taili ya mbele kwa mbali, tukazuia gari kdg tukaiburuza, Nikampa Pole nikampa buku 2 yake nikampa na 5 nyingne ya pole kutokana na Nilivyoweza.
mi ni mahiri sana wa kuendesha pikipiki kwa kasi na kwa kuzingatia taratibu za barabarani, ila nilijua kuwa sijui kuendesha pale nilipoendeshwa na boda nikapitishwa katikati ya masemi kwenye msitari unaoigawa barabara ya uelekeo mmoja (double road), yaan kama wewe ulivyopotishwa, alikuwa akiniwaisha ubungo stand (kitambo) ili nikapande basi.

sikumwongelesha dreva ili nisimuondolee concetration ya maamuzi katika uendeshaji lakini roho yangu iliachana na mwili kwa muda kutokana na spidi tuliyokuwa nayo, tulifika salama ila sidhani kama atakuwa hai hadi leo iwapo aliendelea na uendeshaji ule. RIP bodaboda
 
Mwite mtakakufa,au marehemu anayetembea🤣
bodaboda ni jamaa wa kitofauti sana, kwenye hatari badala afunge breki yeye anapiga honi nyingi sana, mpaka anakata moto nayo. Huruma sana aissee...

Ukimkuta mzimamzima analia kwa maumivu makali sana anashout kwa majuto mno

utaskia " mama alinikataza nisikatize mataa bila kuruhusiwa, yamenikuta nakufa kwa kiburi changu "
wakati huo mbavu na vyote ndani yake viko nje, semi trela limefanya yake....

Mwingine utaskia,
"nilishakatazwa kunywa visingura halafu niendeshe bodaboda, ona sasa nakufa kizembe "
wakati huo miguu imesagwa vizuri na lori la taka...

Ni vizuri ABIRIA wa bodaboda ukamcontrol dereva wako. Mpe muongozo wa unako kwenda ili safari yako iwe salama na amani...
Akikubishia achana nae chukua nyingine
 
Back
Top Bottom