Duzente Siqwente
JF-Expert Member
- Aug 6, 2012
- 265
- 59
Ama kweli usafiri wa boda boda unasaidia sanaa wachina endeleeni kuzalishaa
Mbona umesahau kusema pia unaua kuliko all types of motorvehcle currently!
Hapo kwenye red! mhh! kwema lakini swahiba?Mbona umesahau kusema pia unaua kuliko all types of motorvehcle currently!
hapo kwenye hiyo rangi ya mnyama! mhh! Habari ya j2?Napanda kwa tahadhari yan asiniendeshe kama tupo kwenye mashindano na pia nikwa ninashiida yakuwahi
hapo kwenye hiyo rangi ya mnyama! mhh! Habari ya j2?
ni kweli kabisa me mwnywe huwa napnda nikiwa na haraka nasty sio kila cku bt oll in oll znarahisisha
hahaaaa haya bhana wa kurekebishaaa