Boda boda

Mbona umesahau kusema pia unaua kuliko all types of motorvehcle currently!
 
UMEPANDA KUANZIA WAPI? aisifuye mvua.... NENDA MNADANI DOM UKALE NYAMA YA UKWELI ONLY IF YOU ARE NOT VEGETARIAN. UKITOKA HUKO PITA ARUSHA KWA NJIA YA KONDOA-BABATI-ARUSHA NIKUPELEKE KWENYE MBUZI KWA MOROMBOO ULE MPAKA UBEBE. ANYWAY ENJOY YOUR LIFE.
 
hapo kwenye hiyo rangi ya mnyama! mhh! Habari ya j2?

Swaiba!
Hapo si pamesahauliwa I tu mkuu ? Instead of motorvehicle ikaandikwa motorvehcle ! Au unayo mistake tofauti na hiyo? Ni kama alivyofasahau aliyefatia chini "nikiwa" aka'put "nikwa" kasahau I hivi nayo ni issue mkuu ?
Ikakufanya ukaacha kutochangia topic ya mtoa mada ? Ukafatilia " I" ?
Spell err ukizifatilia humu utakosa muda wa kutoa post/ku'share comments.
Then ni rahisi sana tiny err to happen at late time !
Sasa my dear toka huku , achana na kuwinda Digidigi twende kule kwenye Sredi ya "wakali wa hesabu" tukawinde Elephant !
 
ni kweli kabisa me mwnywe huwa napnda nikiwa na haraka nasty sio kila cku bt oll in oll znarahisisha
 
zawadi za mozambique zipo n kuhusu kiswahili kinaongelewa sehem kuu mbili Maputo n Nakala abt gfts zipo ww 2 hjanitafuta
 
sijawahi panda boda boda na sitakaa...bado najipenda....bora nitembee kwa miguu au ka ni safari bora niahirishe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom