Boban amtandika vichwa Okwi dressing room

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
hayo yametokea muda mfupi baada ya mechi kumalizika,kwenye dressing room ya simba.
Inapatikana hapa
www.shaffih.blogspot.com
 
kama kawaida yetu...simba na yanga haziwezi kufungana bila ya kuwepo internal hujuma....inanikumbusha wafrika jinsi tusivyokufa kwa kifo cha Mungu...lazima kuna mkono wa mtu kwenye vifo vyetu...simba na yanga nao ndo hivyo hivyo...hawawezi kufungana bila wachezaji kununuliwa na tuhuma kede kede! funny us!!
 
Mibangi na wivu labda sababu kaanzia benchi ameingia hajafanya lolote akatafuta sababu tu amemuonea bure okwi!!hivi okwi anamshindwa mvuta bangi yule??
 
Baada ya mgosi,sasa okwi mh! But by that time nilimuona bobn akitoka mapema uwanjan,bila wenzake,katoka fasta akavuka barabara akaingia ndani ya gari ndogo huyoo.muda mfup bdae nikaambiwa yy na mafisango walikua wanampiga okwi.
 
Baada ya mgosi,sasa okwi mh! But by that time nilimuona bobn akitoka mapema uwanjan,bila wenzake,katoka fasta akavuka barabara akaingia ndani ya gari ndogo huyoo.muda mfup bdae nikaambiwa yy na mafisango walikua wanampiga okwi.

Kama yeye na mafisango basi nimeshapata picha,mafisango yule mcongoman anavuta bangi yule sijapata kuona...nilikua namshuhudia pala magomeni mapipa kwenye nyumba wanayokaa wachezaji wa azam last year,yeye akitoka mazoezini asubuhi chumbani kwake ni bangi na bia halafu alikua na kitoto chake na mkewe kutoka congo humohumo ndani,nilukua simsomi kabisa yule jamaa,sasa naona kakutana na mvuta bangi mwenzie haruna hapo kwa wanyama,watawasumbua sana wanyama hao watu,wanyama wafanye maamuzi magumu kama yanga kwa chuji
 
Simba acheni uhuni,wenyewe mnapenda mateja,mmedaka mateja kibao kutoka yanga.mnawafkr azam wajinga kumwacha mavisango nae teja yule.
 
Ilikua yondan na mgosi.sasa zamu ya okwi,simba mna kazi jamn . Nilishanga wakt natoka taifa mashabic wa simba walikua wanashangilia kipigo cha okwi! Badala ya kipigo cha yanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom