Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,397
- 18,014
Asante Preta kwa hiyo link ya Youtube pamoja na Aeka Mangi kwa kunipata verses za One Love ya Bob. Imekaa fresh
Tarehe 21 May 2001 BBC waliutangaza wimbo wake Wa 'One love' kama best song of all time baada ya kuendesha mahojiano na wapenzi wa muziki. Naomba mwenye mistari ya huu wimbo ayaweke hapa jamvini ili iwe ndiyo namna ya kumuenzi huyu gwiji wa reggae duniani
Nakubaliana nawewe pamoja na BBC moja kwa moja ila kwangu juu ya Bob the best song ni Redemption song kuna quote ktk sig yangu na zion train aloimba na the wailers.... Hizo nyimbo mbili zinanigusa mno...
Binafsi siku ya kwanza kuusikia "redemption song" nilijihisi kudata, mwili ulinisisimka!
Sijawahi kuuchoka huo wimbo.
Lakini "waiting in vain" ndio my best of all time, aisee ile ngoma naikubali sana.
Umeona eeeh, jG what impresses me more ni kua the guy ameimba huo wimbo na guitar tu bila vyombo vingine, but the impact, the voice, the emotions and feelings zinazopita katika ujumbe wake is so so so astounding... I LOVE THAT SONG..... yaani really love it! Napenda pia Waiting in vain (ni love song) but katika love song zake napenda "i wanna love you (every day and evety night)"
Ndio mautundu ya wanamusic hayo...
Mwanangu unagonga mulemule,
i wanna love yo..... we ll share the roof yeah n' my single bed....
Mmmmh tutamaliza nyimbo zote hapa,
Kwa kifupi huyu jamaa alistahili kuwa LEGEND, mkali kwa karne zote za uwepo wa dunia hii
Yeah that true... thanks, I always appreciate views of someone who is interested in the same thing I am... Always gives me a new perspective. Na siwezi ondoka hapa bila kusema katika the song ( I wanna love you) napenda quote ya "I am willing and able..." Sijui nyimbo zake zoote but the few I know I treasure....
Kweli, raha sana ku-share interest...
Nilikuwaga na MP3 ya Nesta, DeffJam waliitoa wakachanganya na remix alifanyaga na wakina Mr Chicks, Busta, Lauryn, Guru na wengine kibao tu. Nilipoibiwaga hiyo mp3 basi huyo mtu ndio akanifilisi kabisa.
Sasa hiyo nyimbo "i wanna love" nilikuwa naisikiliza juu juu, siku nilipoona video yake, kumbe mheshimiwa alikuwa anawaimbia "watoto".... hahhaha nilichoka, ila bado nikaipenda tu.
Ofcoz mwanzoni nilidhani anamwimbia demu..!
Aisee hiyo mp3 itakua ilikua ya ukweli... sijawahi isikia but najua Deffjam wana jina kubwa na wahusika ulotaja wa ukweli (thou simfahamu Guru)... Na believe me i have never seen the video... nimecheka saana baada ya kuniarifu hivyo.. Enways inawezekana ni Irony tu because the words are all about love and making love... sharing the shelter off a single bed.... blah blah blah blah... LOL...
Mautundu ya IT yananishinda hapa ningekutupia kadhaa kwenye audio,
au zicheki mwenyewe kuna "Guiltless" yupo na Mr Chicks
"chant down da babylon" yupo na Busta
"Johnny was the gud man" yupo na Guru (of gangstarr)