TANZIA Bob Makani afariki dunia

Wakati wa msiba mzito kama huu hatutegemei mzaha! kama alikuwa anapiga fegi wewe inakuhusuje? Ndugu jamaa na marafiki wanatarajia maneno ya kuwafariji kipindi hiki kigumu! R.I.P Mwenyekiti mstaafu wa CDM!!
ndo matatizo yenu miafrika,kama alikuwa chain smoker tusiseme!kama fegi zimechangia kifo chake je utasemaje?wewe anakuhusuje bob makani?ndugu?jamaa au rafiki?
 
ndo matatizo yenu miafrika,kama alikuwa chain smoker tusiseme!kama fegi zimechangia kifo chake je utasemaje?wewe anakuhusuje bob makani?ndugu?jamaa au rafiki?

wacha kasumba za kijinga unatuita miafrica we mzungu au? au una ona wazungu wa maana sana? wapo wazungu wengine wajinga kuliko hata wewe! Pia kifo cha mtu au sababu ya kifo cha mtu anaijua daktari sasa wewe unapotutangazia alikuwa anavuta fegi tuamini ndio zimemuua? wewe ni daktari hadi u arrive kwenye hiyo conclusion? Wakati wa msiba watu hawapendi kusikia maneno ya kipuuzi kama yako! Binadamu wote ni ndugu zangu hivo hata huyu maadamu ameumbwa na mungu ni ndugu yangu!!
 
wacha kasumba za kijinga unatuita miafrica we mzungu au? Au una ona wazungu wa maana sana? Wapo wazungu wengine wajinga kuliko hata wewe! Pia kifo cha mtu au sababu ya kifo cha mtu anaijua daktari sasa wewe unapotutangazia alikuwa anavuta fegi tuamini ndio zimemuua? Wewe ni daktari hadi u arrive kwenye hiyo conclusion? Wakati wa msiba watu hawapendi kusikia maneno ya kipuuzi kama yako! Binadamu wote ni ndugu zangu hivo hata huyu maadamu ameumbwa na mungu ni ndugu yangu!!
umeshinda..iam wrong you are right.
 
umeshinda..iam wrong you are right.

better you have seen where you have fallen! But anyway there was no competition only discussion and different opinions, and different way of looking at things! you are welcome!!!
 
Niliendaga nyumbani kwake Shinyanga.
Aisee wakat anaongea ndio nikagundua kumbe hana meno yooote ya mbele
 
Huyu Mzee Wangu sijawahi pata Jibu hadi leo Hii Ndugu zake ni Wakristu ila yeye ni Muislam na Watoto wake wote kama sikosei Ismail na Medi wale Wahezaji Mpira Wa Kikapu Misukuma ile Mirefu mirefu sana kama Baba yao...

Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu Panapo Stahili...
Bageshi...
Kumbe Bob alikua Muslim? Safi sana. Kaenda peponi huyo, maana amekufa akiwa ndani ya dini ya haki
 
Kumbe Bob alikua Muslim? Safi sana. Kaenda peponi huyo, maana amekufa akiwa ndani ya dini ya haki
Dini ya haki ni ipi tena Bwashee?
Ni ile ya akina alshabaab?
Ama ni ile ya Isis?
Bila shaka ni ile yenye wafuasi wa Boko Haram na El Delgado kaskazini mwa Msumbiji
 
Back
Top Bottom