Bob junior: Mimi siyo shoga, ni usanii

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,781
5,205

Na Erick Evarist
Prodyuza ambaye pia ni msanii anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ (pichani) amefunguka kuwa, yeye si shoga ila kazi yake ndiyo inamfanya awe kama alivyo.

Akizungumza na na Ijumaa juzikati maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam, Bob Junior alisema kuwa, baadhi ya watu wamekuwa wakimtafsiri tofauti kutokana na muonekano wake bila kujua kuwa, usanii ndiyo chanzo.

Alisema kuwa, yeye ni mwanaume kamili na watu wasiende mbali katika kujadili muonekano wake na kumuingiza kwenye ushoga bali watathmini burudani anayotoa.

“Watu wanashindwa kuelewa kama usanii ni kazi kama zilivyo kazi nyingine, lazima mtu uwe tofauti kuanzia muonekano, mavazi na hata staili yako ya kutoa burudani kwa mashabiki, kama ni shoga mbona hata leo tu nilikuwa na baby wangu?” alisema Bob Junior.

Hivi karibuni gazeti dada na hili (Risasi Jumamosi) liliripoti kuwa, Bob Junior alibambwa maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian lakini wawili hao walipohojiwa hawakuweka wazi uhusiano wao licha ya huko nyuma kudaiwa kutoka kimapenzi.
 
swagga za kike ndo maana mbona watu wakali mauzo mia way back lakini kashfa hazituhusu.....manake magomeni nayo ndo wanapotoka mashoga maarufu!
 
Nikweli usanii ni kazi kama kazi zingine lakini mbona uzidishe manjonjo kiasi cha kuzua mjadala?lisemwalo lipo....nakama halipo....,......?
 
Mhhhh! usanii gani huu mbona kina Joti wanasanii kike tena waziwazi lakini hakuna dhana hiyo?..Bro kuna jambo mpaka yamekufikia na umeamua kusema!
 
Hivi watu wantaka msanii awe vpi?akiwa mchafu lawama,akijipenda lawana,
mwacheni aishi maisha yake-kumbukeni hatuwez kuwa sawa,mimi naona yupo kawaida tu-
PIGA KAZI BOB JUNIOR-BAACHE BASEME
 
apunguze kukata mauno kwenye nyimbo zake , mauno yale yawatia watu wasiwasi wakati wimbo wenyewe unakuwa hauna beats za kukatika

azawaiz, hayo ni majungu tuu ya waswahili
 
badilika kuwa kama wanaume wenzio we hujiulizi kwa nn unawekwa kundi hilo, mbona wakina joti na mpoki hawaitwi mashoga na wanaigiza kama mademu, badilika mshkaji
 
hakaa kajamaa kweli kana elekea shosti..kwanza inaonekana mda mwingi anatumia kwenye kioo kushinda demu wake,afu mbona hataa kashfa ya demu hanaaaa
mhh ila huyu mkaka sijui kwa nini mwenzenu.....kama sio anaelekea!!!
 
ngoja aje awageuzie kibao ndo mtambue kuwa n shoga au la.
 
Dah!ngoja tuanze kumtegea camera ....unaweza kuta kanaliwa kweli haka kajamaa.
 
Ukimuona tu ya kwanza unagundua tu kuwa ni shoga. Hata kwenye ugomvi wake na Wema Sepetu kumbukeni kuwa Wema alidokeza vitu Fulani kuhusu huyu Shoga.
 
Kwahyo usanii ndio unaomfanya awe hivyo alivyo yaan kuwa shoga! Duuuhhh!
 
Back
Top Bottom