Bmw X6 Model of 2011

yaani wewe kakushinda hata darlingtone anauza ka raum kake ka weka picha na bei kabisa.
 
bmw-x6-1.jpg
 
Mkuu OD unamaanisha nini? Ni sawa na kiasi gani cha fedha za kitanzania? Used au mpya?

Ninadhani alimaanisha Odometer reading, kiasi cha kilomita zilizokimbiwa na hii gari, kama sikosei sijui lakini.

Gari ni nzuri kwa kweli, tatizo wengi wetu uwezo
 
Ninadhani alimaanisha Odometer reading, kiasi cha kilomita zilizokimbiwa na hii gari, kama sikosei sijui lakini.

Gari ni nzuri kwa kweli, tatizo wengi wetu uwezo

Mkuu sokwe thanks kwa kunishusha presha, mi si ndo nkadhani OD ni vifupisho vya currency za madolla ya kidhungu,maana nusura niuze kibanda changu na kuanza kupanga mchakato wa kumtafuta huyu jamaa ninunue maana hili gari nalipenda balaa, pamoja na lile la Hyundai ix 35. Huwa yananitia wazimu.
 
Ni gari nzuri kwakweli hasa kwa wenye pesa zao, nililiona kwa mara ya kwanza mwaka 2008 nchini italy, niliambiwa pia inakula lita 1 ya diesel kwa kila km 4! sijuwi ni kweli sija-google
 
Back
Top Bottom