BMW X5 2001 Model Inauzwa

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
Gari aina ya BMW, X5, toleo la mwaka 2001, rangi nyeusi, inauzwa.

Ninaifahamu gari hii, ni ya rafiki yangu. Kama unataka ku-impress, ndiyo yenyewe. Ina nguvu, inatumia mafuta vizuri, engine yake si kubwa sana, lakini kinachonivutia zaidi ni kwamba gari hii ina nguvu ya kwenda kasi kiasi kwamba kama wewe si mzoefu wa magari yenye uwezo wa aina hii, inaweza kukutupa nje. YOU NEED TO BE A PRO TO DRIVE THIS CAR.

Wanunuzi wenye uhakika pekee ndio wanaoruhusiwa kunitafuta. Bei ni Shs. Milioni 45. au next offer.

Nitumie PM ili tuwasiliane. Picha zitatumwa kwa wenye kuhitaji kuziona.

Asanteni
 
Hivi kuna mtu ananunua Gari ya 44m mkononi kwa m2? you know what I mean!
 
Picha na specs mtapata mkinitumia anuani zenu za email kwenye PM.

Kuna wanaonunua magari kwa ZAIDI ya hizo 44 million. Ukiona wewe huna fedha, wenzako wanazo ZA KUMWAGA, tena wameweka vyumba maalum nyumbani mwao. Wana masanduku ya kila aina ya sarafu duniani. Somo hili nimepewa na mtu fulani huko Jijini Dar.
 
Gari aina ya BMW, X5, toleo la mwaka 2001, rangi nyeusi, inauzwa.

Ninaifahamu gari hii, ni ya rafiki yangu. Kama unataka ku-impress, ndiyo yenyewe. Ina nguvu, inatumia mafuta vizuri, engine yake si kubwa sana, lakini kinachonivutia zaidi ni kwamba gari hii ina nguvu ya kwenda kasi kiasi kwamba kama wewe si mzoefu wa magari yenye uwezo wa aina hii, inaweza kukutupa nje. YOU NEED TO BE A PRO TO DRIVE THIS CAR.

Wanunuzi wenye uhakika pekee ndio wanaoruhusiwa kunitafuta. Bei ni Shs. Milioni 45. au next offer.

Nitumie PM ili tuwasiliane. Picha zitatumwa kwa wenye kuhitaji kuziona.

Asanteni

45M?>:? You must be joking my friend!! kwa hiyo pesa you get a decent X5 ya 2005 and above na change inarudi I bet you i have been driving the BIMAS fro last 5years hiyo utauza sana sana kwa not more than 20M
 
Kwanini tukuPM email zetu? Weka hapa ili atleast ukipigiwa simu au ukitumiwa email mtu awe kafikia maamuzi fulani na sio kuomba picha na kukuta kitu chenyewe hakina maana!!

Weka picha, I personally need one, I have been surfing for the past three weeks looking for X5s!!
 
Hii gari imeingia lini hapa kwetu? Mwenyewe kakaa nao muda gani?
Kwa barabara zipi unaweza kuendesha kwa kasi hapa Dar?
 
Picha na specs mtapata mkinitumia anuani zenu za email kwenye PM.

Kuna wanaonunua magari kwa ZAIDI ya hizo 44 million. Ukiona wewe huna fedha, wenzako wanazo ZA KUMWAGA, tena wameweka vyumba maalum nyumbani mwao. Wana masanduku ya kila aina ya sarafu duniani. Somo hili nimepewa na mtu fulani huko Jijini Dar.

Mkuu wanunuzi wa magari kama haya ni wachache sana.Kenye bracket ya wanunuzi wa over 40 million unaweza vile vile kuongeza nyingine 20-40 mil na kununua kitu kipya kabisa kinacholingana.
Watch your market weka picha ili nisisafiri kwenda nje, niinunue nifanye mipango ya ushuru ndani ya bajeti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom