Blandina Nyoni mhusika mkuu ufisadi Muhimbili

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Hivi kwa nini JF mnapenda kuogopaogopa? ???

Blandina Nyoni ndiye mhusika mkuu wa ufisadi wa machine MRI/CV scans, madawa MSD, na botched IT software pale Muhimbili

Pia ndio huyo huyo anahusika na kashfa ya software ya Asycuda TRA (hii tutamfungulia separate thread).
 
Hivi kwa nini JF mnapenda kuogopaogopa? ???

Blandina Nyoni ndiye mhusika mkuu wa ufisadi wa machine MRI/CV scans, madawa MSD, na botched IT software pale Muhimbili

Pia ndio huyo huyo anahusika na kashfa ya software ya Asycuda TRA (hii tutamfungulia separate thread).

Una kaushahidi? Funguka
 
Lete ushahidi sisi tupo karibu na JPM tutaupeleka, but make sure una full documented detail.
 
Wahakikishe wanakamata pass yake ya kusafiria maana akiona huu uzi anaweza kukimbia hata mchana huu.
 
Ndio maana hawatochunguzwa, hawatoshtakiwa, na wakipatikana na hatua hawato filisiwa Mali zao na za jamaa zao, hawatofungwa kwa uhujumu uchumi, hawatofanywa lolote lile kwa sababu Magufuli hatotaka kwenda kinyume na mtu aliyemtangaza nchi nzima.


Lakini habari za ndani kabisa ni kuwa sasa hivi hawa waarabu wa najiandaa kuhamishia makao yao mkuuu Rwanda au Msumbiji kwani hawana u hakika na insurance policy yao (msoga).

Pia kuna taarifa kuwa kumbe wanazo diplomatic passports wao na wanafamilia zao hivyo wa kitakachoendelea kaondoka wanapita tuuu pale VIP bila kubugudhiwa au kaulizia kitu.

Yule wa Guangzhou sasa hivi yuko Kigali. Lakini kiusalama ni kuwa hawa jamaaa sote tunajua ni bunch of thugs masquerading as businessmen na access waliyokuwa nayo utajiuliza clearance walikuwa na nani wakawa karibu kiasi kile na Ikulu na mawaziri, maofisa wakuu wa idara nyeti za serikali na wabunge. Hawa jamaa ni wa Yemen na allegiance yao iko Yemen na tusisahau kuwa Yemen ni hotbed ya Al Qaeda in Arabian peninsula na ma terrorists wengine. Sasa cha kijiuliza kwa unprecedented access waliyokuwa nayo tuna u hakika gani kama ulinzi na taarifa za siri za serikali hazijabadilika compromised? ?? Tukindoa suala la terrorism kuna suala la espionage na najiuliza Salaah wa HSC kule China alikuwa na access ya kutisha je kuna possibility alishawahi kunyanyua data toka kwenye laptop ya mawaziri au viongozi wetu bila wao kujua? Mind you alikuwa anawaandalia safari, ana book hoteli zao, anaenda kuwa pokea Hong Kong, anawapa pesa, anawahudumia kuwafanyia shopping, ana tuma makontena yao bila kulipa ushuru, kisha makontena yao yanatolewa bureee hapo bandarini na sie tutaona sawa tuuu Je tuna u hakika gani kama our national security haijawa compromised na hawa jamaa?



Hii ndio Tanzania, mwarabu anatoka kwao Hadharamawt (hapa kuna Umauti) , Yemen. Anakuja kutafuta rizki Tanzania kisha anatesa wa Tanzania ana husika na kashfa za ufisadi bandarini na kukodisha serikali zaidi ya TRILLIONI 2 kwa kipindi cha miaka 10. Kisha anazawadiwa nafasi ya Ubalozi China, kisha wanawaweka wakuu wa ulinzi na usalama hususan polisi kwenye miknono yao kisha wanawanunua mawaziri na wabunge, kisha wanawaendesha wakuu wa idara nyeti za serikali na on top wanaleta kiburi cha kututukana,kutunyanyasa,kututesa ndani ya nchi yetu.

Binafsi sitegemei kama Magufuli atawagusa hawa wa shihiri. Mbaya zaidi najiuliza hivi CCM ilishindwa vipi kupata mfadhili mbadala ya hawa waarabu wabaguzi, mafisadi, wasiiona huruma nchi hiii
 
Kama kweli tunataka nchi hii iendelee kuwa nchi ni wazi tunahitaji tume ya ukweli na maridhiano. Maana ufisadi uliokwisha fanyika ni wa kiwango cha juu sana na kutisha. Ni ngumu kuwafunga wote maana magereza yatajaa na washauri wa mambo mbalimbali watakosekana lakini pia huwezi kuufumbia macho na kuwaacha wahusika kuendelee kufaidi vyote walivyoiba!
 
Hivi kwa nini JF mnapenda kuogopaogopa? ???

Blandina Nyoni ndiye mhusika mkuu wa ufisadi wa machine MRI/CV scans, madawa MSD, na botched IT software pale Muhimbili

Pia ndio huyo huyo anahusika na kashfa ya software ya Asycuda TRA (hii tutamfungulia separate thread).

Inaonekana unajua kitu unachosema lakini hauko tayari kutoa details..kwa style hii itakuwa ngumu sana kukusaidia
 
duuh patamu sana hapo. hii tz bhana na unaweza ukakuta huyo ni muumini mzuri sana wa dini kumbe ni hatari tupu.
 
Back
Top Bottom