jumbenylon Senior Member Jun 12, 2011 115 10 Feb 10, 2012 #1 Nauza bb torch 9800 750000/ ina tatizo ya microphone...
emilwayne JF-Expert Member Nov 25, 2011 265 19 Feb 11, 2012 #2 jumbenylon said: Nauza bb torch 9800 750000/ ina tatizo ya microphone... Click to expand... we ***** torch 9800 mpya kwa m2 unapata kwa 500,000
jumbenylon said: Nauza bb torch 9800 750000/ ina tatizo ya microphone... Click to expand... we ***** torch 9800 mpya kwa m2 unapata kwa 500,000
vanmedy JF-Expert Member Oct 12, 2011 2,698 1,395 Feb 11, 2012 #3 Mwache akawauzie wachimba madini.. Laki saba unusu si bora nkannue kiwanja mbande.. Ingekuwa haina tatizo la mic angeuza mil 2 huyo!!!!
Mwache akawauzie wachimba madini.. Laki saba unusu si bora nkannue kiwanja mbande.. Ingekuwa haina tatizo la mic angeuza mil 2 huyo!!!!
baraka607 JF-Expert Member Aug 2, 2010 844 165 Feb 12, 2012 #5 Hahahaha nouma' huenda ukiweka mfukoni inakujaza pesa bana. Embu tumuulize vizur sababu ya kuiza bei hiyo.
Hahahaha nouma' huenda ukiweka mfukoni inakujaza pesa bana. Embu tumuulize vizur sababu ya kuiza bei hiyo.
Achahasira JF-Expert Member Mar 9, 2011 1,213 214 Feb 12, 2012 #6 ukitaka kuuza kwa 300000.nitanunua lkn isowe imechoka saaana
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,578 8,600 Feb 12, 2012 #7 Jamani kakosea anamaanisha elfu sabini na tano,75000!!kama ameletewa na hajui bei ya soko unategemea ataropoka nini hapo???
Jamani kakosea anamaanisha elfu sabini na tano,75000!!kama ameletewa na hajui bei ya soko unategemea ataropoka nini hapo???
jumbenylon Senior Member Jun 12, 2011 115 10 Mar 5, 2012 Thread starter #8 Gud naona hamna mteja hapo