Blackberry curve

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
256
178
Naombeni msaada wakuu kila ninapotaka kuaccess camera yangu kwenye blackberry inaniambia 'close other application'
sielewi ni application zipi?kwani wakati huo naamini kuwa sijafungua application zingine.
 
Fanya hivi mkuu, shikilia ALTkwenye keypad ya simu yako uku ukipress LGLG pasipo kuachia itafunguka pop up windows ya event log , ingia option na press clear

Baada ya kufanya hivyo toa battery na uirudishie, kama ukifanikiwa usisite kunijulisha pia ikigoma niambie nikupe option nyingine.
 
Rukus,
What is LGLG?

digodigo,
Ukipenda unaweza ku-restart simu yako kwa kubonyeza vitufe hivi kwa mpigo: Alt+Shift+Del badala ya kuondoa baterry. (aA=Shift?)
 
Fanya hivi mkuu, shikilia ALTkwenye keypad ya simu yako uku ukipress LGLG pasipo kuachia itafunguka pop up windows ya event log , ingia option na press clear

Baada ya kufanya hivyo toa battery na uirudishie, kama ukifanikiwa usisite kunijulisha pia ikigoma niambie nikupe option nyingine.
Nashukuru mkuu kwa ushauri lkn napata tabu pia kuipata hiyo ALT
 
Sijawahi kuona command inayofanana na L-G-L-G. It works! Thanks
What other useful command do you often use?
 
Fanya hivi mkuu, shikilia ALTkwenye keypad ya simu yako uku ukipress LGLG pasipo kuachia itafunguka pop up windows ya event log , ingia option na press clear

Baada ya kufanya hivyo toa battery na uirudishie, kama ukifanikiwa usisite kunijulisha pia ikigoma niambie nikupe option nyingine.

nimefanya hivyo but kuna log mbili hazikujifuta
nika restart but inshu ni ile ile
msaada zaidi please
 
Jaribu kuclear tena,ikigoma Fungua cover la simu yako kwa nyuma kwenye battery kwa juu yake kwenye lens ya camera tumia kidole cha pili ya gonga kwenye lens mara mbili utasikia kamlio flani hivi, baada ya kufanya hivyo. Chomoa betri na uirudishie then jaribu kufungua camera yako na uhakik itafanya kazi

Njia hii ni ya kuchekesha ila ndio inafanya kazi kimaajabu na hayo ndio maajabu ya BB..
 
nimegonga mara mbili ka mlio nimekasikia
nika restart but mchezo ule ule
au kidole cha pili uli maanisha kipi?
 
nilimaanisha kidole cha pili toka dole gumba vyote vichirikiane ila cha pili ndio kigonge lens. Nadhani ujagonga vizuri mkuu usitumie nguvu na fanya kama vile unagonga yai kusikilizia kama lina kiumbe ndani
 
Back
Top Bottom