Blackberry Bold 9900 for sale!

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Habari wakuu,
Blackberry Bold 9900, nyeusi inauzwa kwa TZS 600,000/=

Nicheki kwa 0655 003 510

Sent from my BlackBerry Bold 9930 using JamiiForums
 
Mbona vitu muhimu haujaweka? ni mpya au used? condition yake kama used ina sctraches nk
 
Sasa iyo pesa si bora ununue laptop.duh kwa ushamba wangu kamwe siwez tumia simu ya laki sita,ikizid sana ni laki 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom