BISHOP KAKOBE::Tanganyika Huru Lazima Ipatikane

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.
 
mkuu tupia audio yake fasta hawa ndo viongozi wa dini sio kina askofu mdegela na mtetema hawawezi kukemea maovu ya watawala
 
Kwa bahati mbaya sikuweza kurecord lakini najua kuna watu lazima walirekodi na pia kuna cassete huwa zinauzwa...pale kanisani waweza pata.
 
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.

Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
 
Palipo na ukweli uongo hujitenga, hapa tulipofika uongo hauna nafasi tena, uwe profesor, uwe doctor, uwe askofu, uwe na cheo serikalini, uwe Rais au nani, huwezi kusimama na kuudanganya umma, na ni ukweli usiopingika kuwa Nyerere hakuwa Mungu wala maraika, alipokosea ni lazima tuseme wazi kwa lengo la kuanza upya kwa taifa letu, alipofanya vizuri hatuna budi kumpongeza, lakini kumgeuza binadamu mwenzio na kumsjudia kama mungu mtu, kutenda dhambi mbele ya Mungu, umefika wakati tuseme kweli, historia ya kweli italipeleka taifa mbele kutoka hapa tulipo, serikali mbili zimeishavunja muungano.
 
mkuu umenena vema sana keep it up
 
kakobe katika hili nakuunga mkono 100% Tanganyika kwanza Znb baadaye.

Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.
 
Nilikuwepo katika Ibada hiyo ya kipekee. Nimechelewa kuleta updates kwa sababu ya kutafuta kwanza makulaji, unajua tena Sikukuu! Askofu Kakobe ameshusha nondo funga kazi, nitaanza kuzipakua sasa hivi.
 
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.Go,Go, Kakobe Go Forward.
 
Back
Top Bottom