Birthday Ex

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Washikaji leo birthday yangu lakini hiyo sio ishu, ishu ni kwamba ex wangu wa mwaka wa 99 amenipigia kunipa hongera na anataka nikachukue zawadi ambayo ameniambia laiv kuwa ni ule mchezo wa siku zote.

Tatizo ni kwamba aliniacha long time: nilikuwa nahangaika sina hili wala lile sasa mambo yangu afadhali, ananitega.

Cha kushangaza mambo yake safi zaidi na ukiangalia kitu chenyewe kimetulia utadhani gari lililotoka DT Dobie asubui.

Naoma ushauri, Do i enjoy that gift ama nitulie nikapate bia mbili jackies baadae na washikaji?
 
mhh mnadanganyikiga sana na huo usemi" katulia"....khaa hebu muwe mnajitambua kidogo jamani.
 
Mkuu usile matapishi hayo achana nayo songa mbele, mpe thanx tu, huwezi jua kwa nini anakurudia, may be soko limeisha au tayari DEGE LISILOLIWA, wewe mwanaume bana kaza moyo watoto wazuri kibao mtaani, huyo atakutoa mood yote ya siku yako ya kuzaliwa na ukashindwa kulijenga taifa. Nahisi ukimega tuu atakuganda kama ruba huyo ACHANA NAE!
 
stuka mpwa.
miaka 10 ni mingi sana, huwezi jua afya yake.
naomba kukuuliza kitu, kwani wewe hujapata Girl Friend mwingine tangu 1999?????.
kama unaye stick nae,kama huna nenda kwa washkaji kagonge bia.
TENA ITAKUA JAMBO JEMA KAMA UKIWA-PM WAPWA JIONI TUKAKUPA HONGERA KWA
BESIDEI, ACHANA NA KIMEO HICHO,
BTW
HAPPY BIRTHDAY SoulBrother!!!!!.
 
we nenda kula vitu rudi zako ahahahhahhhhhhhhhhh...huo si ndio wasia wa wapwa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom