Biriani Ijumaa

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Nani ajuaye atupe maarifa kwanini chakula cha Biriani kinapendwa kwa Ijumaa kuliko siku zingine zote? Kina mahusiano na ibada?

Kila mgahawa unaopika Biriani lazima usisitize neno Ijumaa.
 
Ni tamaduni na sii imani, chakula cha biriani huliwa sana maeneo ya uarabuni, na hiii imetokana na siku na sherehe ya mwisho wa kila wiki baada ya ibada ya ijumaa, kama ilivyo kwa tamaduni zengine za wasabato kula makande jmoss na wakristo kula pilau j2 hivyo hivyo kwa jumaa ni Bririaniiii mbuzi kwa wingi 😁
 
Ni tamaduni na sii imani, chakula cha biriani huliwa sana maeneo ya uarabuni, na hiii imetokana na siku na sherehe ya mwisho wa kila wiki baada ya ibada ya ijumaa, kama ilivyo kwa tamaduni zengine za wasabato kula makande jmoss na wakristo kula pilau j2 hivyo hvyo kwa jumaa ni Bririaniiii mbuzi kwa wingi
 
Back
Top Bottom