Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

Status
Not open for further replies.

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Haya ndio yaliyopo kwenye status yake FB ikifuatiwa na shutuma kali dhidi ya Dk Slaa bila kujali maisha duni ya TZ.

Violet Mzindakaya:"Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa......."
 
Sijaelewa kama watoto wa vigogo huwa wanatumiwa kuharibu upinzani au ndio kusema hawajui life la uswazi likoje kiasi cha kukashifu juhudi za upinzani bila ushahidi wowote. Nimesikitishwa sana na huyu binti Mzindakaya na namshauri aachane na Slaa manake mpaka sasa hamna alichosema Dk Slaa kikawa sio kweli kuanzia Richmond, Dowans etc.
 
wewe mzindakaya kapumzike salama kijijini kwako tuache tupambame na nchi yetu hii lengo letu nikuikomboa kutoka kwenye mikono ya mafisadi na usimsakame dk slaa watu walioko nyuma yake ni wengi sana na tunamtegemea sana kwa sababu ndiye raisi aloyoko kwenye mioyo ya watanzania kama mmeshindwa kuzungumzia maswala makubwa ya nchi na kumshauri raisi basi huna budi kukaa kimya ukatuacha tunapambana
 
Facebook ingebaki huko huko! Unataka mpaisha bure

Rev Masanilo inauma sana kuona upinzani unakandamizwa bila hatia. I thot here is where we dare to talk openly??Source ya habari isiwe ishu, je Dk Slaa anastahiki kudhalilishwa na huyu bint asiejua chochote?? Lazima tuonyeshe kuwa Dk Slaa ana kubalika na wapinzani kama yeye ni muhimu kwa taifa hili.
 
Nguruwe apite tuuuu, leo SINA MKUKI.

167150_134900266571808_100001555070854_208549_4370226_n.jpg
47629_133058880089280_100001555070854_196666_2323048_n.jpg

Anavyosema huyu Mamaa aliyemaliza Kampala University mwaka jana:

++>> Ung"are peke yako Dk Jakaya Kikwete na wabunge wote kutoka chama kinachoeleweka CCM Oyeeeeeeeeeeee

++>>narudia tena faraja kwa hiyo kweli una uhakika Mh JK anamiliki dowans??????na umeshasema serikali hapa ni vitu tofanauti kaka,hapa ni tuhuma kwa Rais mwenyewe si serikali sasa labda mwenzetu ulipata bahati yakuoa alikosaini saini...naona Bw Silaa alikuonyesha kidogo tuambie na ataach kwenye email yangu36 minutes ago

++>>Tukichekea haya ipo siku nanyi mtakuja kuwa viongozi humu ndani alafu unasingiziwa kitu kama hicho,tatizo tunasahau kuwa Mh JK nayeye ni binadamu,tunamuona kama kuwa Rais hivi hana hisia nayeye minakwambieni amshukuru kweli ingekuwa Uganda angeona chamtema wa kuni
 
Mwacheni binti afurahishe nafsi yake jamani, kazaliwa baba mbunge mama anakwenda sokoni na landcruiser VX, yeye shule anapelekwa na dereva wa serekali chakula home wanalazimishwa kula sasa wale wa vijijini atawajuaje? Ushauri tu wa bure labda mmwambie kuwa mambo yanabadilika siku hizi, asijijazie hope akadhani wadanganyika bado wamelala, anaweza kumuona baba yake anang'aa kwa pilato siku moja akashangaa
 
Ilo jina linanikumbusha mkopo uliochukuliwa kwa security ya BOT wa mradi wa ngombe kule Lyamba lya Mfipa
 
Haya ndio yaliyopo kwenye status yake FB ikifuatiwa na shutuma kali dhidi ya Dk Slaa bila kujali maisha duni ya TZ.

Violet Mzindakaya:"Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa......."

Huyu mbibi afunge domo lake. Utafikiri hajui kinachoendelea nchini. kwani huyo mkwere wake ni raisi foreva? zero brain kabisa
 
Hiyo picha inanikumbusha kabinti nilikutana nako pale Knyama bondeni baa almaarufu kwa Devi naweza kusema kalikuwa uchi kabisa sauti iliyobomolewa na pombe ngumu kumeza kwa picha nadhani kamemegwa na Kikwete.

Hakana thamani ya kukukaendelezea mjadala
 
....hiyo anayompa Mkwere kama ni bussiness card yake basi kwisha kazi yake=hakupona so mwache amtetee ^&^*& wake. anatuletea za kingese watu tumepigika na mafisadi ikiwemo familia yake. kama anatarajia ubunge wa viti maalum huko mbele ya safari, huwa hawaanzi hivi.
 
Lazima atetee unga wake jamani! Baba yake amechota pale BOT na sijui kama anarudisha ule mkopo. Na tayari amepata tenda ya kusupply nyama Zambia, sasa mnategemea kabinti ka watu kasitetee hilo?
Ila namshauri tu baba yake ajitahidi kulipa ule mkopo vinginevyo by 2015 atakimbilia Zambia!
 
Inauma maana maisha ni magumu na bado tunatakiwa tulipe Dowans billions of money kwa kodi yetu. Iweje mtanzania huyu anadiriki kutetea Kikwete kuwa hausiki? raisi mwenye kapiga kimya. Huyu dogo naona ana wasi wasi CCM ikiondolewa atakosa viti maalum na uwaziri 2015.

She is having everything hajui kuumiza kichwa upate pesa za kodi, nauli, watoto shule, mavazi, usafiri nk. Yeye kila kitu analetewa na serikali ndo maana anaitetea.
 
Wana Jf...haka binti sikapati vizuri.........ila nahisi nikalopokaji

nashauri kama kuna mwaJF anakaa nako karibu au ankachakachua basi akafundishe adabu..............
 
Nguruwe apite tuuuu, leo SINA MKUKI.

167150_134900266571808_100001555070854_208549_4370226_n.jpg
47629_133058880089280_100001555070854_196666_2323048_n.jpg

Anavyosema huyu Mamaa aliyemaliza Kampala University mwaka jana:

++>> Ung"are peke yako Dk Jakaya Kikwete na wabunge wote kutoka chama kinachoeleweka CCM Oyeeeeeeeeeeee

++>>narudia tena faraja kwa hiyo kweli una uhakika Mh JK anamiliki dowans??????na umeshasema serikali hapa ni vitu tofanauti kaka,hapa ni tuhuma kwa Rais mwenyewe si serikali sasa labda mwenzetu ulipata bahati yakuoa alikosaini saini...naona Bw Silaa alikuonyesha kidogo tuambie na ataach kwenye email yangu36 minutes ago

++>>Tukichekea haya ipo siku nanyi mtakuja kuwa viongozi humu ndani alafu unasingiziwa kitu kama hicho,tatizo tunasahau kuwa Mh JK nayeye ni binadamu,tunamuona kama kuwa Rais hivi hana hisia nayeye minakwambieni amshukuru kweli ingekuwa Uganda angeona chamtema wa kuni

Sikonge,

Hapa mi mkuki ninao. Kwikwikwi.
 
Haya ndio yaliyopo kwenye status yake FB ikifuatiwa na shutuma kali dhidi ya Dk Slaa bila kujali maisha duni ya TZ.

Violet Mzindakaya:"Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa......."
We binti wa Mzindakaya wewe, hivi kuwa kwako kote mwana CCM Dr Slaa hajawahi kukuboa mpaka leo? Upo nchi gani wewe? Wenzio kina Salva, Jk ,Tambwe, Rostam, EL na wengine alishawaboa zamani kumbe wew ulikuwa bado? Visichana vingine bwana? Anaitakia nini nchi wewe unaitakia nini nchi hii kwa kumkejeli mtetezi wa wanyonge dr slaa? Umekopi taarifa ya salva na kuweka facebook ama kweli wewe kilaza wa kutupwa. Nafikiri umeanza kuwa limbukeni. Hebu basi watangazie wananchi kwamba alichosema Slaa sio kweli uone moto wake. Videmu vingine bwana
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom