Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

Status
Not open for further replies.
Huyu mbibi afunge domo lake. Utafikiri hajui kinachoendelea nchini. kwani huyo mkwere wake ni raisi foreva? zero brain kabisa
jamani huyu dada ni mshenzi tuuu huyu kwani ana kila sababu ya kutetea huo ujinga wake. tafadhali we changu kaa kimya
 
aeleze babake amepata vp vitalu vya uwindaji? mpk kuamua kuachana na Ubunge...
 
Haya ndio yaliyopo kwenye status yake FB ikifuatiwa na shutuma kali dhidi ya Dk Slaa bila kujali maisha duni ya TZ.

Violet Mzindakaya:"Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa......."

hii habari ya kuokoteza mambo kwenye mitandao mingine, mara face book za watu washenzi washenzi haina tija kwa JF.

kama mtu unapata muda wa kutembelea mitandao mingine, ukikutana na upuuzi unaujadili na kuuacha huko huko sio kuuleta hapa kumbe unampandisha chati bure huyo mpuuzi. Kama amekukera ama kukufurahisha, sema nae huko huko ulipomkuta.

Mtu mwenyewe wala hana lolote la kutufanya watanzania tufikirie hoja zake, ingawa pia hana hoja, huyo ni wa kuachana nae.
 
[white prt london
white+paarty+2.jpg
white+party.jpg
IVUGAAAAAA upooooooooo hapo, hii mi tototooooo ni balaaa mbali na ufisadi walioiga kwa baba yao na umalaya piaaa. angalia kama hiyo yenye dress ya white na dots za black mbona ni balaaaa. ni mdogo wa huyo shangingi anemtetea JK. kaenda uk kajiuzaaaaaaaaaaaaaaa eti baba ana hela. huo mkopo aliupeleka wapi?
na kama huyo violeth mambo kwao safi wangekaa mwananyamala kwa bi nyau?hivi nyinyi mnaongelea watu msiowajua nadhani.baba yao kajaribu kuwauza mpaka sasa hawana soko tena...pole yao.
 
Wakuu mi nimeona hii post kwenye fb imenipa hasira sana hivi huyu Violet Mzindakaya anawashwa na nini? Au yeye ndo msemaji wa ikulu?

Nina nukuu alichokiandika
(Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa.......)
 
Huyu binti mpuuzi.Toka lini Slaa akawa mzuri kwa CCM hadi leo wanamwona anaboa? Atakuwa anatafuta bwana tu huyo kichangu
 
anajijenga kisiasa. maana kwa dr. slaa wengine wanapoteza kazi, wengine wananeemeka.
 
Huyu binti mpuuzi.Toka lini Slaa akawa mzuri kwa CCM hadi leo wanamwona anaboa? Atakuwa anatafuta bwana tu huyo kichangu
Tatizo la hawa watoto wanaokula na kushiba bila kujua chakula chatoka wapi kazi ni kujamba ovyo tuuuu....hadi kwenye mitandao.
shaiser.
 
Tatizo la hawa watoto wanaokula na kushiba bila kujua chakula chatoka wapi kazi ni kujamba ovyo tuuuu....hadi kwenye mitandao.
shaiser.

anakula anashiba, anachukua gari anaenda mziki, anarudi saa 9 usiku, analala mpaka saa 9 mchana, akiamka anaoga, anachungulia frijini kama kuna juice au soda, kisha anapiga simu kwa bwanake ili wakutane dinner, baadaye ratiba ya mzalendo pub inaanza tena kutekelezwa.

mwanamke kama huyo hata kiwiko chake hakina vipele vyeusi. kuku wa sumbawanga
 
Wakuu mi nimeona hii post kwenye fb imenipa hasira sana hivi huyu Violet Mzindakaya anawashwa na nini? Au yeye ndo msemaji wa ikulu?

Nina nukuu alichokiandika
(Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa.......)

Hakuna mtoto yeyote wa kigogo atamsema vizuri Slaa. Hawa jamaa wanaonyesha hasira ya ajabu utafikiri hii nchi ni yao peke yao na sis ni watumwa wao na hatuma haki ya kusema lolote. F**%&)*&%$%^&#.............. Duh, nisije kula ban bure hapa.
 
msinda.jpg
Cheki alivyo na kutu kwenye miguu kama chuma chakavu.......kama ni used itakua ya china hii.
Watu tunalilia mabadiliko ya nchi yetu yeye analetwa mbwe mbwe kwenye fb.
Yaani hizi ndo picha zake kali kuliko zote alizoona atuwekee kwenye fb....disabled
 
Attachments

  • msindakaya.jpg
    msindakaya.jpg
    29.8 KB · Views: 549
Amekosa adabu hawezi kuwa anaongea na Amir Jeshi mkuu hata nywele hachani. Halafu mdomo wake kama anapiga kitu cha Arusha na Zambia vile

Wakuu mi nimeona hii post kwenye fb imenipa hasira sana hivi huyu Violet Mzindakaya anawashwa na nini? Au yeye ndo msemaji wa ikulu?

Nina nukuu alichokiandika
(Hivi DK SILAA unachoitakia hii nchi nini????haya umeona ya katiba yamekwisha sasa unamhusisha MH Rais na umiliki wa DOWANS!!!!!!!we ni mtu mzima na ulifikia mpaka hatua ya kugombea Urais ukashindwa, bado unaendelea tena na uzushi kama huna hoja kaa kimya.....TUNAKUHESHIMU SANA kama wenzio hawakwambii basi ila minakueleza unaanza kuboa sasa.......)

Ulitegemea aseme nini, hawa ni miongoni mwa wateule wachache wanaonufaika na uozo kwenye uongozi uliopo. Wanapigana kuhakikisha wananchi wasipate kuujua ukweli maana leo ni JK anahofia kesho isije akawa baba yake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom