Mkaa Mweupe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2007
- 654
- 183
Hivi kuamini kitu ni lazima kiwe kimetapakaa huko duniani ndio kiwe kweli? Hizi ni sawa na hekaya za abunuwasi. Ni hekaya ili mjifunze na muweze kujua kuna-uwezekano wa kulaghaiwa na hatimaye kupoteza maisha.
Somo: Chunga Tamaa Mbaya!
Makofi kwa msimuliaji.
Somo: Chunga Tamaa Mbaya!
Makofi kwa msimuliaji.