Binti wa kihindi ananitesa...

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Anauza duka la vifaa vya Kompyuta maeneo ya posta, nilienda kununua External Hard-disk. Wakati ananipatia akaniminya kidogo kiganja cha mkono wangu

Nilisisimka si mchezo, Halafu yule mh... maana umbo lake si flat kama wahindi wengi tunaowaona Bongo. Sijui nianzie wapi maana zoezi la kwanza lilikuwa kumuondoa mawazoni imeshindikana........

Yule akicheka kuna vishimo vile kwenye mashavu sijui vinaitwaje............ Ni mpole hana dharau. Yaani haki ya Mungu nampenda yule dada. Nakosa raha maana naona ni kina kirefu sijui kama nitaweza kupiga mbizi

Jamani mwenye mistari ya kuingilia kwa Muhindi niko tayari hata kumlipa.
 
  • Thanks
Reactions: rom
Wahindi ni binadamu kama wengine, wanaingilika sana.

Ila kaka zao ni noma. Watakufanyizia hadi uhame nchi wakati nchi ni yako mwenyewe. Ubaguzi wao unashangaza. Wao wanachukua dada zenu, lakini wanawanyanyapaa nyie kuchukua dada zao.

Yahitaji "kuvunja ukimya' waache ubaguzi wao uliopitwa na wakati.
 
Wahindi ni binadamu kama wengine, wanaingilika sana.
Ila kaka zao ni noma.Watakufanyizia hadi uhame nchi wakati nchi ni yako mwenyewe.
Ubaguzi wao unashangaza.Wao wanachukua dada zenu, lakini wanawanyanyapaa nyie kuchukua dada zao.

Yahitaji "kuvunja ukimya' waache ubaguzi wao uliopitwa na wakati.

Hapo kwenye Red huwa nasikia sana hizo story ingawa sina uhakika kama zina
ukweli please kama kuna mtu ana ushahidi kuwa imewahi kutokea ni vizuri akitufahamisha.
 
Mkichekewa tu tayari mioyo imewaruka, kakuminya ili uje kununu na 'Fulashi Diski'. Lakini usijali utampata tu, nenda na tambuu. Kwa maelezo zaidi, angalia muvi za kihindi au songhi
 
Jitaidi kaka bt hao kuwapata ngumu kutokana na unyanyapaa wao kwa ngoz nyeusi na hata akikupenda yeye utaambulia ugirlfriend na boyfrnd 2. Ukijitaidi sana ni mate na kupewa tigo cause hao wanatakiwa waolewe wakiwa bikra.
 
Dah! Hii ndio miaka 50 ( HAMU SINA YA UHURU) Umeme umekatika nitarudi tena baadae ila we ulosema nirudi kwa flash disk umenichekesha
mbona kuna rafiki yangu anaenda mara kwa mara hajaminywa?

Halafu mi nimependa tu si kwa sababu ya kuminywa........ Kuminywa ni kama
chachandu tu kwenye mlo.
 
Mkichekewa tu tayari mioyo imewaruka, kakuminya ili uje kununu na 'Fulashi Diski'. Lakini usijali utampata tu, nenda na tambuu. Kwa maelezo zaidi, angalia muvi za kihindi au songhi

haaahaaaaaaa dah hii kali yani kaminywa ili aje anunue flash disk???????
 
Jitaidi kaka bt hao kuwapata ngumu kutokana na unyanyapaa wao kwa ngoz nyeusi na hata akikupenda yeye utaambulia ugirlfriend na boyfrnd 2. Ukijitaidi sana ni mate na kupewa tigo cause hao wanatakiwa waolewe wakiwa bikra.
Mweh ngoja nitarudi baadae umeme umekatika lakini umenitisha kaka!
 
Jitahidi kupeleka zawadi ya pilipili mara kwa mara.
Wala usimpe yeye, wape hao kaka zao. Na ninakushauri ziwe pilipili mbuzi na kichaa, hapo utawaloga. Wahindi wakiona pilipili wanasahau hata tafauti zao na magolo.

:focus: Usije kutumia gia nzito kama kumpachika mimba ili uruhusiwe kumuoa. Watampeleka India India akatoe (Kutoa TZ umebea mwingi) au na wewe watamtuma golo yeyote akupige busa la gari ukae kitandani maisha.
 
Kama hiyo story ni kweli ukirudi tena mwombe namba ya simu tena kwa sauti ukijidai kwamba in case chombo ulichonunua kisipofanya kazi. Kama kakupenda kweli atakupa yake binafsi na mpigie immediately ukitoka dukani. Ongea kama mwanamme na mpe appointment (usitegemee atakubali sehemu iliyo open, wanajiua machinjio yao yako Namnani - Sinza, kama huna gari lenye tint windows then forget her, au iba kaba kopa uwe na nyenzo hiyo.
 
hahaha nakumbuka uliwahi kuja na thread unataka kuoa muhindi.. na ulitaka kwenda india.... bado tu wafukuzia wahindi broda! good luck! jaribu!

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
ha ha haha, ushauri wa wadau ninyi ni kama wa mganga wa kienyeji wa njoo na kuku mweusi mwenye kichwa kikubwa kama cha mbuzi.

Mmenichekesha sana

nenda tena dukani kachukue quotation ya bidhaa tofauti afu tulia akuhudumia yeye sasa uchanganye na za kwako hadi upate namba yake ya simu
 
She is good in customer care.......yaani umedata mpaka nouma mazee angekuwa hotel attendant naona ungehamia hapo usahau na kwako.....wanaume tujikaze jamani
 
Atakuwa aliangalia sana movie za kuchikuchi hotahe enzi zile zinaoneshwa kwenye vibanda 50

hahaha nakumbuka uliwahi kuja na thread unataka kuoa muhindi.. na ulitaka kwenda india.... bado tu wafukuzia wahindi broda! good kuck! jaribu!
 
hahaha nakumbuka uliwahi kuja na thread unataka kuoa muhindi.. na ulitaka kwenda india.... bado tu wafukuzia wahindi broda! good luck! jaribu!
"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Una kichwa kizuri sana njiwa. Nafikiri sasa unaweza kuelewa
ni kwa jinsi gani nina dhamira ya dhati.
 
Nenda kamwimbie ...."lau moskodae, pili pili nnazo, kuchi kuchi hota he! Lazima atakukubali!
 
She is good in customer care.......yaani umedata mpaka nouma mazee angekuwa hotel attendant naona ungehamia hapo usahau na kwako.....wanaume tujikaze jamani
Jamani mi nimempenda kabla ya kuniminya, aliponiminya ndo kamaliza kazi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom