binti mrembo katili kaua mwanaye

superfisadi

JF-Expert Member
May 22, 2009
553
52
amejifungua akamtupa kwenye choo cha hotel morogoro
Kweli sisi Wanawake sometimes ni wanyama
Huyu binti apewe athabu kali pamoja na aliyempa mimba hiyo
Source itv
 
amejifungua akamtupa kwenye choo chadema hotel morogoro
Kweli sisi Wanawake sometimes ni wanyama
Huyu binti apewe athabu kali pamoja na aliyempa mimba hiyo
Source itv
Aliyempa mimba ana kosa gani?hujatoa ushahidi kuwa aliyempa mimba alishirikishwa kutenda kosa hilo la kikatili!
 
Yaani sikuamini nilipomuona kwenye tv wakati wa habari kama ni yeye alitenda tendo lile!
 
Aliyempa mimba ana kosa gani?hujatoa ushahidi kuwa aliyempa mimba alishirikishwa kutenda kosa hilo la kikatili!
Huyu binti mpk kufikia hatua hii huenda ametelekezwa na aliyempa m mimba Na amekosa msaada wa kiuchumi na hajapata msaada wa kisaikolojia kufanya akubaliane na hiyo hali .
 
NILIMWONA KWENYE tv. alinistua sana! Kwenye jamii yetu kuna tatizo. Maadili yamepotea kabisa! Nafikiri ni vyema tuanze upya na makusudi kabisa somo la maadili na mila na desturi zetu nzuri zifundishwe mashuleni! Nadhani mila nzuri za Kihaya, Kisukuma, Kimasai, Kichagga, Kisambaa, Kiluguru, Kigogo, Kihehe, Kinyakyusa, Kingoni Kizaramo Kinyamwezi na kadhalika wasomi wetu wakakaa chini kuzikusanya pamoja tutapata kitu Tanzania itakipenda na kukienzi! Mila zo kimangaribi na Ulaya si zetu. Tuna zetu nzuri mno hatuziboreshi! Wasomi mpoo!
 
Back
Top Bottom