T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,796
- 35,461
Madonna hajafa yupo haiMastaa wengine wanaowakataa ndugu zao ni Marah Carey ambaye ana utajiri wa usd million 500 hataki kumsaidia na kukutana na dada yake pekee. Mariah Carey ana donate nakuchangia mamillion ya pesa kwenye charities za kutunza mbwa.
Pia Madonna hadi kifo kilipomchukua kaka yake hajawahi kumsaidia nakumuacha alale nje homeless licha ya utajiri wa madonna sasa hivi kuelekea dolls billion 1.